Jinsi ya ku_block namba sumbufu ya simu.

ElPuto Jefe

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
5,285
Reaction score
19,471
Za Jumapili wakuu!?

Wale wataalam wa teknolojia, hamna namna ya kublock namba ya mtu!? Maana kuna watu wasumbufu sijapata ona..

NB: Simu siyo smartphone wala haitumii iOS/ ANDROID... Ni nokia obama..
 
Mpaka ingekuwa smart
 
Kwa nokia obama weka Barring tu mkuu ila ndio namba zote hazitokupata.

Kwa upande wa sms unaweza weka hyo no usyotaka msg zake kwenye Screened messages then msg zote atazokua anakutumia hutoskia smu ikiita wala kuvibrate na msg ztakua znaende kwenye sehemu tofaut na Inbox.

so Baada ya muda weutakua ukienda delete msg zote

kdg itakua imesave usumbufu.
 
Kama ni Nokia Obama bonyeza kwenye Option angalia utaona neno limeandikwa ADD TO SCREENING LIST bonyeza hapo then OK kwisha habari
 
Kwa nokia obama weka Barring tu mkuu ila ndio namba zote hazitokupata.

Kwa upande wa sms unaweza weka hyo no usyotaka msg zake kwenye Screened messages then msg zote atazokua anakutumia hutoskia smu ikiita wala kuvibrate na msg ztakua znaende kwenye sehemu tofaut na Inbox.

so Baada ya muda weutakua ukienda delete msg zote

kdg itakua imesave usumbufu.

Hii itasaidia, ahsante mkuu..
 
Za Jumapili wakuu!?

Wale wataalam wa teknolojia, hamna namna ya kublock namba ya mtu!? Maana kuna watu wasumbufu sijapata ona..

NB: Simu siyo smartphone wala haitumii iOS/ ANDROID... Ni nokia obama..
Wakati wa kukopa ulikuwa mstaarabu, sasa unatakiwa kulipa deni unamuona mdai ni msumbufu unataka kumblock, hivi hujui ni kosa la jinai wizi wa kuaminiwa?
 
Dah...namba utoe mwenyewe kwa njaa njaa zako....Leo unawaita wasumbufu....acha ujinga....lipa vimeo vyako banaaa
 
Na vip kuhusu zile sms zinazokuja bila namba mfano Biko na nyinginezo huwezi kuwablock maana niwasumbufu kweli
 
Mpaka ingekuwa smart
Naomba kujua namna ya kublock mtu mmoja mwanzoni nilikuwa natumia samsung s.111mini nilikuwa kuna sehemu unabofya ukitamka sim nzima au mmoja saa hivi natumia j5 siwezi mmoja haina sehemu ya kihivyo naona sehem ya wote tuu
 
Kwa nokia obama weka Barring tu mkuu ila ndio namba zote hazitokupata.

Kwa upande wa sms unaweza weka hyo no usyotaka msg zake kwenye Screened messages then msg zote atazokua anakutumia hutoskia smu ikiita wala kuvibrate na msg ztakua znaende kwenye sehemu tofaut na Inbox.

so Baada ya muda weutakua ukienda delete msg zote

kdg itakua imesave usumbufu.
Ukiweka hivyo ma akipiga akupati?
 
Wakati wa kukopa ulikuwa mstaarabu, sasa unatakiwa kulipa deni unamuona mdai ni msumbufu unataka kumblock, hivi hujui ni kosa la jinai wizi wa kuaminiwa?
Haaa kama kweli vile
 
Wakati wa kukopa ulikuwa mstaarabu, sasa unatakiwa kulipa deni unamuona mdai ni msumbufu unataka kumblock, hivi hujui ni kosa la jinai wizi wa kuaminiwa?

Wala sijakopa.. Ahsante kwa kuchangia..
 
Naomba kujua namna ya kublock mtu mmoja mwanzoni nilikuwa natumia samsung s.111mini nilikuwa kuna sehemu unabofya ukitamka sim nzima au mmoja saa hivi natumia j5 siwezi mmoja haina sehemu ya kihivyo naona sehem ya wote tuu
kandamiza hiyo namba zitatokea option za kuchagua andalia neno hapo ADD TO REJECT LIST au SPAM MESSAGES hata akikupigia hakupat
 
Back
Top Bottom