Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Eeh,inakuwaje hii,sijaelewaHata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
GB whatsap hata ukifuta inaonekanaHayo mambo tunayapata ukiwa na Yowhatsapp
Nenda kwennye seting ya yowatsapp yako kisha privacy utaona maelezo yote.Mm nina yo lakini mbona siwezi.ebu nipe shule apo mkuu.
Analala na ziwa mdomoniMtoto halali na hela
Kuna kusoma msg ya mtu usijulikane kama umesoma,Settings << Account << Privacy << Turn off Read receipts. Hatuweza kuona kama umeViewView attachment 1533308
Ndo hichohicho ukitoa hio huoni walioview wala ww hawakuoni kama umeview achilia mbali unachoongelea wwKuna kusoma msg ya mtu usijulikane kama umesoma,
Na Kuna kusoma status ya mtu usijulikane kama umesoma.
Hii ulioweka wewe ni kusoma msg ya mtu, Mleta mada anazungumzia kusoma status.
Duuh ulitumia playstore?hizo kwangu zinagoma kuinstall sijui nakwama wapi wakuu
Mpaka uwe na simu ya tochi line mbili bila hivyo huwezi jiunga.hiyo whatsapp ndo nini najiungaje ?
Bangi mbaya sanaMpaka uwe na simu ya tochi line mbili bila hivyo huwezi jiunga.
shida nikuwa zinafunguka lakini zinahitaji ni update version na wakati ni updated.Duuh ulitumia playstore?
nenda kwenye uc browser/operamin utadownload kirahisi zaidi..
Search whatsaap gb apk-download.
duuh hapo kazi sasashida nikuwa zinafunguka lakini zinahitaji ni update version na wakati ni updated.
Kuview madongo ya kwenye status………bila kuonekanaMahangaiko yote haya ni ya nini!?
Ha ha ha ha ha haaaah😂😂😂, sasa si utumwa huuKuview madongo ya kwenye status………bila kuonekana
Vijana wana mambo mengi.Ha ha ha ha ha haaaah, sasa si utumwa huu