Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Sasa inakuwa na maana gani status utake kuziona ila alieziweka asijue kama umeangalia! Si umute tu!

Hapo kwa Yanga tuko pamoja
 
Nimejaribu imegoma
Screenshot_20200810-214559.jpg
 
Wee uliyeleta hii mada uko dunia ya wapi,yaan unafikia hatua ya kujidanganya kwamba utapiga mamilion ya hela kwa kitu kidogo kama icho!!! Ila anyway nadhan umeshafahamishwa Sasa!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo hutokea pale unapomkubali mtu gizani lakini hadharani hutaki kukiri kwamba unamkubali! Matokeo yake ndo hayo... akitupia kitu kwenye status yake unatamani kukicheki lakini hutaki ajue kumbe umeshoboka na status yake!!!

Jombaa, angalia tu kwa kujinafasi na kama umekubali, toa appreciation... simple like that!!
Hasa na ma x na wadangaji ..hii Ni changa la macho pale jamaa akidai baby vip nakucheki sikuoni WhatsApp ..jibu utasikia baby Sina bando ukiona hivyo.

Mabaharia tunajielewa tumesanuka!
 
Back
Top Bottom