Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
1. Screenshot then zoom.

2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.

We will make a millions and millions.

Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.

Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu anakuwekea status halafu mpaka ina expire wewe mhusika ulie kusudiwa hauja iview

Yanga mwaka huu watatisha sana. Hapa Morrison kule Chama halafu pale kwenye benchi yupo Uchebe
 
Hapo kwenye Yanga kutisha ndo umeharibu
 
Bila kumsahau senzo
 
Bange mbaya sana labda Kama mmemchukua Rashid idi chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…