Jinsi ya ku-upgrade firmware ya simu

Jinsi ya ku-upgrade firmware ya simu

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,411
Habarini....
Naitaji kuupgrade ROM ya simu ya Samsung note 1 from Jerry beans to Lollipop... naitaji kujua procedures
Karibuni
 
Kwanza inabid uwe na tool kwa ajili ya kuflashia simu. Hasa hizi box kama volcano ila kwa urahisi wa hyo samsung tafuta odin itakufaa sana. Pia ingia kwenye mtandao uone kama samsung wameahawah ku release update ROM ya note one kuja Ver. 5.0 kama iyo update ipo basi pakua na fuata procedures kama hakuna basi cheki kama kuna CUSTOM ROM, hiz sio official rom ni rom ambazo zimetengenezwa na local developers hivo sometimes sio rom za kuaminika sana maana zinaweza ua simu ila sometimes work correct na huwa zina mbwembwe sana. So ukiipata pakua na fuata procedure za kuupgrade

Do it at your own risk
 
Shukrani sana mkuu
 
mkuu mimi nina Samsung note 1 pia ila ni nzito ipo slow sana nimei reset mara nyingi ila bado nzito vipi nikiifanyia firmware update yan kuiflash itakuwa powa, au je kuna kuna uwezekanokurukurudisha android version ya zaman kabisa ile ya 2.3.5 maana sasa hivi ipo 4.1.3 ni simu ya muda kidogo

Hebu nipe ujuzi lengo kuifanya iwe nyepes maana ni nzito hata ikifungua apps bila kuwasha data ina delay
 
Back
Top Bottom