Jinsi ya ku update android

Jinsi ya ku update android

Daaaah ngojaa tuendeeleee kubaki na hizi simu zetu za laki 3 mpaka hapo S6 itakapopunguaaaaa bei tutanunuaaaaa
 
Hata mimi sielewi elewi haya mambo Ya kununua simu za mamilioni.. Wakati kuna simu kama Moto g (2015) kwa bei ya under laki 4 inayopata update bila shida, pia kuna LG nexus 5 bei rahisi na hii inapata update moja kwa moja toka Google wenyewe.
 
tatizo ana simu mia kidogo
Huyu mkorea akiamka asubuhi naona ana idea nyingi na zote anataka kuzitekeleza...

Sema naona Android vendors wanaona kuupdate simu zao kama inawapotezea hela maana wao wanataka wewe ununue simu mpya kila mwaka
 
Mm nina samsung S5. Vipi inawezekana
Yeah kama unayo Galaxy S5 G900 update kutoka Samsung ipo uwe unacheki System update kwenye simu menu yako mara kwa mara maana inawachukua muda mrefu kusambazia kila mtu
 
Wapi naweza ku update Bila system kuniambia? Mwenye uwezo huo nitamlipa
 
Hata mimi sielewi elewi haya mambo Ya kununua simu za mamilioni.. Wakati kuna simu kama Moto g (2015) kwa bei ya under laki 4 inayopata update bila shida, pia kuna LG nexus 5 bei rahisi na hii inapata update moja kwa moja toka Google wenyewe.
ase hiv hii Xiaomi naeza ipata wap hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom