Jinsi ya ku-unlock blackberry 8310

Jinsi ya ku-unlock blackberry 8310

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Habari Wadau,

Naomba kujuzwa jinsi ya ku-unlock BLACKBERRY 8310 ya O2 na software yake inapatikana vipi au wapi. Haijawahi kutumika Tanzania ilikuwa inatumia simcard ya O2


Asanteni
 
Ili kufungua Blackberry yako 8310 matumizi kufungua code.Visit Theunlockspot.com tovuti kununua code na kufungua ni kutoka O2 lock mtandao na kutumia wih yeyote mtandao wa GSM katika TANZANIA.
 
Back
Top Bottom