Jinsi ya Ku-save hela... KWA WANAUME TU!

Jinsi ya Ku-save hela... KWA WANAUME TU!

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
clip_image001.jpg

Nimeikuta hii kwenye wall ya mshikaji pande za fb. Eti noti zingekuwa hivi wakaka mngekuwa hamzitumii mnaziweka tu mifukoni... Sijui kuna ukwee?
 
mmmmhh... hofu yangu ni kuwa vibaka ndo wangefaidi zaidi... sababu wanaume wasingeziweka fetha hizo mifukoni... he.hee.. heee..
 
May be kilaji nacho kisingekuwepo..
 
ina maana maria roza na wewe ni mwanaume?
siku nitakuja kutega bomu hapa..........
 
Watu wangekua wanacollect noti. Tena kwa kusaidia zaidi wafanye kila mwaka wanatoa noti mpya na sura mpya. lol
 
Ha ha ha... Tusuggest basi kwa BoT
 
Walionyima wote note zao ningezilipia kwenye dala dala nipewe change za vitu vipya ili niendelee kubembeleza
 
Back
Top Bottom