Economist Jay Member Joined Feb 18, 2016 Posts 42 Reaction score 51 Apr 28, 2019 #1 Habari wadau, Nataka ku "promote" page yangu ya facebook kwa kutumia huduma ya M-Pesa, je hii inawezekana? Kama inawezekana, process nzima ikoje?
Habari wadau, Nataka ku "promote" page yangu ya facebook kwa kutumia huduma ya M-Pesa, je hii inawezekana? Kama inawezekana, process nzima ikoje?
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,904 Reaction score 9,830 Apr 28, 2019 #2 Tumia Master card ya m-pesa