Ina maana mwanzo ilikuwa akipgiwa anapata calls kawaida na sms.
Hiyo kama vipi tafta ipsw file la iphone 2g, then iwashie kwenye dfu mode kwa kuzima sim, ukachomeka usb kwa pc then hold home button ya iphone ukiwa umehold chomeka upande qa pili wa usb kwenye sim itawaka ikiwa kwenye dfu mode.
Hope kwenye pc kuna itunes software, simu itasoma fanya back up yake, lile ipsw file lako ulilodownload mfano uwe umelisave kwenye desktop.
Sasa kwenye itunes shikilia ctrl button kwenye keyboard kisha bonyesha restore/update kwenye itunes, itakulitea uchagua location lilipo ipsw file lako.
Locate deaktop then select ipsw file lako itaanza kurestore sim.
Iache irestore mpaka mwisho.
Ikimaliza itajiwasha ikiwapoa then unaweza rudisha mafile yako kutoka kwenye ile back up uliofanya