Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 150
- 106
WANAJAMVI ASSALAMUALAIKUM
Kwa ufupi mimi ni raia mwema ambae napenda kujifunza kila kitu lakini pia ni mtu wa simu janja na huku bush wananiaminia kwamba siwezi shindwa.
Sasa leo nimeletewa kishkwambi mwalimu amebadilisha pattern na amesahau nimejaribu
1. Power up bottom 10 sec imegoma.
2. Volume up bottom and power up bottom imegoma saa sijui nifanye nini ndugu yangu.