Kwa wale wenye uwezo wa Ku upload joomla package za website na Ku edit naomba msaada wenu mnielekeze naweza Ku download ila kuifanyia Nazi yani Ku install na badae Ku edit na Ku upload ndio nimekwama. Kama huwezi saidia ntachangia chochote ila kama mngwana ntashukuru. SMS or WhatsApp 0767353513. Asanteni.