Jinsi ya ku-cancel admission UDOM

Jinsi ya ku-cancel admission UDOM

venine

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
1,458
Reaction score
1,571
Msaada tutani wadau. Dogo alichaguliwa UDOM, BCom. Haku confirm wala ku-cancel. Sasa anataka ku cancel admission kwasababu interest yake ni kusoma Uchumi. Na kwenye portal ya UDom hakuna sehemu inayoonyesha cancellation/ confirmation ya admission.
Tunaomba msaada kwa maana deadline ni saa sita ya usiku huu wa leo.
 
Kama aja confirm shida ya nn tena, yeye kama ataki kwenda aache hivyo hivyo atatemwa automatic
Msaada tutani wadau. Dogo alichaguliwa UDOM, BCom. Haku confirm wala ku-cancel. Sasa anataka ku cancel admission kwasababu interest yake ni kusoma Uchumi. Na kwenye portal ya UDom hakuna sehemu inayoonyesha cancellation/ confirmation ya admission.
Tunaomba msaada kwa maana deadline ni saa sita ya usiku huu wa leo.
 
Msaada tutani wadau. Dogo alichaguliwa UDOM, BCom. Haku confirm wala ku-cancel. Sasa anataka ku cancel admission kwasababu interest yake ni kusoma Uchumi. Na kwenye portal ya UDom hakuna sehemu inayoonyesha cancellation/ confirmation ya admission.
Tunaomba msaada kwa maana deadline ni saa sita ya usiku huu wa leo.
Hiyo uchumi amechaguliwa chuo gani? TCU wametoa awamu ya pili ya ku-confirm, hivyo yeye a-confirm huko alikochaguliwa uchumi.
 
Back
Top Bottom