Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,430
- 78,595
Pamoja sanaNa mimi huwa nakuelewa sana....
Pamoja sanaNa mimi huwa nakuelewa sana....
Pesa zinazoongoza kwa kutoka kirahisi ni zile zilizopatikana kwa shida sana na zile zilizopatikana kwa urahisi sana.
Sasa jamani nimeamka asubuhi inabidi nikusalimie, baadae tena tukiwasiliana si inbidi nianze na salamu au?
Lines tamu za kifilipinoChai ndio zile laki si pesa?!
HahahaEeeh unasalimia lakini unamalizia na lines nzuri. Sio mambo, za wewe, uko pouwah, nambie mmmmmmmh
Hahaha
Hahaha, laki si pesa ,asee hii ni $ 50 ujueChai ndio zile laki si pesa?!
NaelewaApproach nzuri ina matter sana kwa kweli
Imethibitishwa, umepokea 120000 kutoka kwa......Naelewa
Asee kumbe, Hahaha, kiasi kilichobaki ni.....Imethibitishwa, umepokea 120000 kutoka kwa......
A good approach niliyojifunza humu!
Kwa 'real men' hio ni salamu tu.....then ndio unaanza kuongea.Hahaha, laki si pesa ,asee hii ni $ 50 ujue
1,235/-Asee kumbe, Hahaha, kiasi kilichobaki ni.....
Aprroach nzuri nayo utata....ni laki si pesa au good/interesting pick up line? Depends with who u r dealing with.Approach nzuri ina matter sana kwa kweli
Eeeh unasalimia lakini unamalizia na lines nzuri. Sio mambo, za wewe, uko pouwah, nambie mmmmmmmh
Hebu nikumbushe lines nilizokutupia ukatepeta....oooops did i say that?!!Lines tamu za kifilipino (kwangu lakini)
Imethibitishwa, umepokea 120000 kutoka kwa......
A good approach niliyojifunza humu!
Hahaha1,235/-
Kudadeki huu sasa ndio ushujaa ,Hahaha1,235/-
Depends with who u r dealing with.