Namimi nianze kwako...Nataka nianzie kwako nione kama itazaa matunda
Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe mamba havina kitu vimebeba pmb tu.

Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flani matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....hahhahha eve leo nakugawa rasmi.... xmas nilitumiwa wine 3 dadeq!kwa njia hyo hyo!jimiminia weeeee!dadeq!
siku nyingne katokea jamaa ...nikamwambia sijafika job usafiri leo sina!why mamy!nikamwambia ah bima imeisha!naogopa trafk...hela ya bima hyoooo!ila hz technique waanweza wale wakaka age fulan!safiiiii!
hahaaa Evelyn bwana " hizo takwimu alizozitaja bwana muandishi" ni takwimu zinazo tumiwa na wabahili ". tu peke YaoUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Inahitajika approach nzuri hata kama mtu ni broke a.s.s sio kuja vuuuuu kama kibajajiUkiwa na pesa mkononi, you can afford to go straight to the point. Its good umewapa technique nyingine. Ila wengine waoga, kutuma hela kwa mtu usiemfahamu napo changamoto.
hahaha. Usiwe cockblocker...
Yeah wanaofanya hivi wanakuaga wanaume flank matured, wenye tabia za kiume,yani ni real men....
Mbarikiwe sana real men kokote mliko, muongezewe zaidi mnapotoa.
(Basi vikware hapa vitanyapia baadae vipige uturn pm vijifanye navyo ni vi real men)
hahaaa ... Shunie mzigua DemissWazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
hujawahi kuniangushaUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
hapa nimelipukkwa cheko hadi nimelia kha!Inahitajika approach nzuri hata kama mtu ni broke a.s.s sio kuja vuuuuu kama kibajaji