Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Mlianza na moto wa kulazimisha gang lenu liheshimiwe kisa mnatoka kanda yenye watu wengi lkn mkapigwa spana za kutosha sasa naona mmenywea kama mchicha kwenye maji ya moto.
Tumeshuka kiasi cha kumfananisha Prof. Assad na msukuma/kibajaj!! Yote hiyo kwa ufisadi na ujinga wa Ndugai anayeleta hata ushabiki wa mpira ndani ya bunge!! Fanya ushabiki wa mpira wakati unakunywa chai nje ya bunge na sio ndani ya bunge wee mgogo! Unanajisi chamber kwa utani wako wa kijinga.Prof Assad na Muhongo ni wajinga sana ,ndiyo wanaosababisha elimu kupuuzwa.
Ni bora usikilize mchango wa Kishimba utajifunza kitu kipya kuliko hao wapuuzi wawili.
chuki nyingine hizi. Mwenye degree siyo msomi???Tanzania haina wasomi, ina watu walioenda shule kukariri,ndomaana watu wengi elimu zao haziwasaidii kabisa.
Mimi akija mtu akanambia amesoma, ana PhD, masters au degree alafu hana hela, au anaongea pumba ambazo hata mtu wa form 4 anaejielewa hawezi ongea.
Namuona mpumbavu tu.Hatuwezi kukaa kusikiliza hoja zako,hata kama ni pumba eti tukubali kisa umesoma.Mimi nina ka degree kamoja,ila Jana nilimuelewa sana Msukuma.
chuki hazitaisha bongo!! Sasa ndo ninaona kwa nini Mzungu alibagua miafrica kulingana na rangi zao. elimu zao. Mzungu angejichanganya tu nanyie weusi angekosa thamani.Hawa wabunge wa darasa la saba wanaakili kuliko hao unaowaita wasomi[emoji41]
jiwe ameharibu sanaHawa wabunge wa darasa la saba wanaakili kuliko hao unaowaita wasomi[emoji41]
Huwezi kujenga hoja zinazohitaji kutafakari ukiwa katikati ya kundi kubwa la wajinga au average mind kama wengi wa lio huko bungeniShida ipo kwenye vigezo vya kikatiaba vinavyompa raia sifa za kugombea ubunge, kwamba ni kujua kusoma na kuandika, hapa ndipo tulipokamatwa!
Katiba yetu ilishapitwa wakati, hivi sasa hata uteuzi wa baraza la mawaziri ambapo kigezo cha kwanza kuwa mbunge utaona karibu mawaziri wote ni wasomi, Kuna haja gani ya kuruhusu watu wa darasa la saba kuingia kugombea ubunge?
Hata hilo bwawa sijui wwnaojenga ni hao kina Musukuma et allhivi kama huna elimu utafanya upasuaji? utajenga madaraja? kama umeishia darasa la saba sio tatizo
Mbona hatuwaoni wakishiriki kujenga bwawa au hospital au huko wizarani kupanga mahesabu ya uchumi wa nchi?Elimu ya kimapokea ni kirusi, inawezekana ni shambulio la kifikra dhidi ya jamii ya weusi
Musukuma na Lusinde wana akili kuzidi Muhongo na Assad, na wana akili kweli kwa maana ya uwezo wa kukabiliana na mazingira.
Muhongo na Assad ukiwapora makaratasi ndio basi tena
Nawashauri maprofesa hawa wajikite kufanya kazi za kitaaluma(Walizomudu kukariri) huku kwenye siasa wanajiaibisha
Kumbe walikuwa na nini? Jibu swali mbona hatuwaoni huko alikosema mdau wakionyesha hiyo elimu yao?Jiulize kwanza kama wote wanaofanya upasuaji na kujenga madaraja tangu enzi za Adam, Musa na manabii wengine wote walikua na makaratasi yanaitwa diploma, degree, masters, PhD???
Halafu uelewele maana ya elimu
kukwepa vikao vya UNGA ndo akili??Hawa wabunge wa darasa la saba wanaakili kuliko hao unaowaita wasomi[emoji41]
Sijui unataka kumaanisha nini kwani hata wasomi wenyewe unaowaongelea wanajishuku kuwa hawajui kitu."Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu☺️☺️☺️
Nadhani hujanielewa..Mimi nasema ili kina lusinde na msukuma waache kejeli zao Kwa wasomi inabidi hao wasomi wa step up na kuonesha usomi wao katika kujenga hoja zinazoleta ufumbuzi wa matatizo yaliyojaa kila Kona ya nchi hii..lakini wakiendelea kufanya madudu wakati Wana CV zilizosheheni,, kina kibajaji wataendelea kuwapopoa na usije ukashangaa huko mbeleni zodoazodoa ikahamia huku mitaani kwetu..Kwa wakurugenzi,makatibu wakuu na wale viongozi waandamizi wanaotumbua Kodi zetu Kwa kutembelea ma V8 wakati hawajatatua kero za wananchi Kwa kutumia dhamana walizopewa kutokana na elimu zao.Kwa hiyo Wewe unampinga mheshimiwa Mwinyi, Una shauri kichaa akichukua nguo zako akakimbia nazo, na wewe umkimbize tu, kengele la kanisa katokiki likinging’inia?
Hao unaowaita wasomi tumeshudia mara kadhaa wakijitoa ufahamu kwa lugh rahisi ni unafiki . They have degraded themselves by not keeping their words"Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu☺️☺️☺️
Lusinde na Msukuma wanapendeza walivyo kwani wangelisoma wangekuwa wajinga na wezi. Hilo linathibitishwa na aina ya wasomi walioko Bungeni ambao wengi wao wametia usomi wao kapuni na kugeuka kuwa WASAKA-TONGE.Msukuma na kibajaji wanajua kujenga hoja ila tu ni mpangilio umewashinda . Wakati wa kuongea wao wanakaa kimya na wakati wa kukaa kimya wao wanaongea . Kipaji cha kuzaliwa wanacho ila wangepalilia na elimu ya darasani .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuelewa vizuri sana na hoja zako nzuri,shida inakuja kwa hawa wasomi nadhani wanaamka na pombe kichwani,Mapendekezo ya pro,ni kama anajitukana alipeea nafasi tena wizara hiyohiyo alifanya cha maana gani cha kukumbukwa!?Wacha aumbuke!"Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu☺️☺️☺️
wasomi wanajidhalilisha wenyewe kwa kujenga hoja za hovyo hovyo.dunia sasa hivi iko kiganjani na mbaya zaidi hao darasa la saba wengi wao ndo wajasiriamali wakubwa sasa msomi unapochangia kwa nadhalia kubali tu hao wa darasa la saba kwa kuwa ni wazoefu ktk nyanja za biashara watakuchallenge tu hivyo wasomi wajipange wanapotaka kuchangia hoja bungeni."Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango.
Hakuna kitu kinachouma na kusikitisha kama bunge ambacho ni chombo kinachotunga sheria kuongozwa na ushabiki badala ya weledi Watanzania tujitathimini.
Kitendo cha Wabunge wa darasa la saba kuwashambulia wasomi wakiongozwa na spika sio cha kiungwana na wala hatafika popote maana hakuna ya kuwa na weledi.
Ni muda sasa Wasomi wajitizame kwenye kisha waangalie kama niwaminifu kwenye taaluma zao. Wasomi waaminifu na taaluma zao hawawezi kukubali kudhalilika sababu tu wametoa mawazo tofauti na wengine.
Kitendo cha akina Msukuma na Lusinde kupayuka bungine kumsema mtu kwa "defense mechanism'' bila kutoa hoja ni wazi kabisa bunge halithamini weledi badala ya ushabiki na umbea.
Tanzania mama yangu☺️☺️☺️
Kuna kitu gani cha maana wanachoweza kuongea zaidi ya kupamba,kushambulia na kutukana.Msukuma na kibajaji wanajua kujenga hoja ila tu ni mpangilio umewashinda . Wakati wa kuongea wao wanakaa kimya na wakati wa kukaa kimya wao wanaongea . Kipaji cha kuzaliwa wanacho ila wangepalilia na elimu ya darasani .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app