Ulijuaje mkuu,?Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala
hahahaaaaaaaa Mzee mwenzangu kuna kale ka-technic kengine pia ni kazuri sana hasa ukiwa na mwenye mali, all you need to do ni kumponda huyo unaetaka kusafisha Kiwi cha macho; please it is very useful yaani all you need ni kumwangalia halafu unamwambia mwenye Mali "yaani wananwake bhana hebu sasa ona yule kavaaje vile? " au unatafuta namna nyingine kadiri utakavyoona inafaa "Nitakununulia gauni/top au jinzi kama ile au napenda rangi kama ile, i wish ungevaa wewe" yaani hapo kesi yote kwisha na mwenyewe utakua umeridhika hahahahaaaa tatizo sasa wakiwa wengi kila saaaa utashindwa itabidi upunguze frequency
Ulijuaje mkuu,?
Hapo ni Tanga Line lakini sio barabra ya 11, nilikuja huko mwezi uliopita kusafisha kiwi cha macho kwa totoz wa Kitanga.....
Hii mahali ka vile ni Tanga Barabara ya 11 hivi na hata hayo mavazi na hao watu walivyo warembo, Duh kuna wanaume wanahudumia aisee hadi ananona hivyo???!!! Huyo Mmoja anafanana sana na Mpwa wangu Paloma akiwa na tinna cute wanakata mitaa ya Mwananyamala
Mtambuzi, mwenzio niko njiani kufungua kanisa la kufufua misukule...
Nasikia makanisa ya kufufua misukule yanalipa sana, halafu kuna totoz za kufa mtu.