Jinsi wadada wanavyojiloga katika mapenzi

Jinsi wadada wanavyojiloga katika mapenzi

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,852
Katika pita pita ya kuchunguza mambo fulani nilibahatika kupita katika makanisa mawili ya maombezi ambapo niliweza sikia vilio vingi vinavyofanana.
vilio vya E E E MUNGU NIJALIE MUMEO,MUNGU NIONYESHE MWANAUME WA MAISHA YANGU na vilio vya maneno mengi yanayofanana.
nilipotazama kwa haraka niligundua kuwa wadada wengi walokuwa wakipiga kelele hizo ni wale ambao sasa miaka nayo inanza kuhama,simaanishi kuwa wanazeeka,laa.
ila wametoka ktk ule umri wa kulipa na sasa wanaelekea ule umri ambao ni ile miaka ya. . . . .
niligundua kwamba vilio vingi vya wadada wanalilia kupata waume au kuwa ndani ya ndoa.
nilipotazama jinsi wasichana wengi wa sasa walivyo nikagundua wadada wengi walishajiloga na wakasahau walipofukia uchawi wao.
kitendo cha msichana wa leo kutazama mwanamume ana nini,ana miliki nini,ana uwezo gani,kimepelekea wasichana wengi kujikuta bahati ikipita kushoto na hata reception kushuka quality na wanaume kutafuta jengo jipya ambalo halijachakaa.
jirekebesheni,haka katabia kenu katawajaza wengi maombi.
 
Kuna kuaukweli hapa. Mtu akatazwi kuchagua, lakini kuwa so selective kupita kawaida kutawafanya wapoteze mengi, ikiwemo wala wanaume wenye nia ya kuoa
 
mmmnh ukiwa unaskia milio Fulani tuu ....ujue na wewe umo humo humo,kwa nini maskio yako,yako selective? unaskia wadada tu wenye shida ya waume kati ya wote wanaopiga mayowe huko kanisani???...................
 
mmmnh ukiwa unaskia milio Fulani tuu ....ujue na wewe umo humo humo,kwa nini maskio yako,yako selective? unaskia wadada tu wenye shida ya waume kati ya wote wanaopiga mayowe huko kanisani???...................
Bila shaka huyu naye alikuwa anaomba Mungu amjalie mke mwema.
 
Wanawake endeleeni kuchagua msije mkajuta.

Sa utaolewaje na mtu broke? Kwanza sisi broke niccas hua tunaogopa majukumu si kipole pole sasa jichanganye ujikute umeolewa na broke kama mimi.

Ever had sleep for dinner? Bado? Jipange
 
Kwa hiyo, ukienda kwenye nyumba za ibada na sala wewe huwa unafanya ushilawadu wa maombi ya watu hasa wadada/wanawake tu!?

Nimeamini hakika kuwa "Kweli Mungu na Waungwana ila shetani na wahuni"
 
Mkuu hiyo ni kawaida coz hata wewe ukitaka mwanamke wa kuoa lazima ufanye selection ya dem mzuri unayetamani kua nae..so waache.
 
hamjui tu wanawake wanapitia nini, mdada upo unavumilia mkaka hana kitu siku akipata analeta dharau utampiga?; utalazimisha akuoe akutese?
 
Back
Top Bottom