hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Kuna app nyingi hazipo kwenye playstore kwa mfano videoder, mobogine, ambazo unazikuta kule playastore mara nyingi zinakuwa ni za uongo
Ukitaka kuzipata zile app kwa urahisi lazima uingie internet na udownkoad kwa mfumo wa apk. Au mtu kama hiyo app anayo lazima akutumia kwenye Bluetooth kwa mfumo wa app share na ukitaka kuistal hizi apk lazima uweke sehemu moja hivi wameandi unknown app na hii ni hatari sana na ukisha maliza kuistal ile setting bado inakuwa iko on na vailasi wanaanza kuingia muda wowote
Madhara yake unakuta sometime kunavitu vinajidownload vyenyewe mara unakuta simu imejiwasha data yenyewe au mara nyingine simu inaisha chaji haraka someti inakuwa ya moto sana hata kama hautumii nk.
Ukirestore zingine zinakubali na zingine huwa zinakataa hadi upeleke kwa fundi software afute file lote harafu aweke lingine
Solution kama utaweza tumia app zenyewe zinapatikana kwenye playstore tu na usikubali hata kulishiwa app kwenye Bluetooth ni hatari sana.
Kama kuna mtu nae anaweza akawa na solution nyimgine anaweza kutusaidi.