Jinsi virus wanavyoingia kiurahisi kwenye simu za android

monkey test ni malware huyo..kumtoa kirahisi kwanza ni vizuri ukiwa umeroot simu yako.

vinginevyo ufanye factory reset kwa ku untick backups process. ..kisha baada ya kumalza make sure hauwek installation from unknown source kua on.
 
ahaa nilifanya yote hayo ila tatizo nili backup nadhani hilo ndio tatizo, shukrani mkuu kwa kunielewesha vzr
 
Watu mnapenda sana kua super users kuonekana geeks tu ila in reality u do nothing once you are a super user zaidi ya kutumia whatsapp na facebook. Give me two things ambavyo wewe personally unaenjoy kama superuser. Alafu honestly utaacha kudownload apps playstore unaenda sources nyingine, huo ni ushauri mbaya sana kumpa mtu, unajua fika sources nyingine ni dangerous kuliko playstore, playstore wakigundua app ina any security risks hua wanaifuta fasta, in most cases hua haifikii watu hata 500.

acha kabisa mkuu mimi nimemodify kernel cm yang inapandisha 4G sa hv ,nimebadili font, nimeongeza themes nyingne ,nimeongeza ringtones nyingne ,nimeedit build prop ,nimebadilisha shut and power on animation, nime ongeza network tweaks kweny etc ,nimeunistall pre installed aps kuna apps ambazo ninazipenda kwa hyo nmezfanya system apps nnaweza kupatch apps to apps with no adds kwa hyo mkuu atulingani

warning uwe umebackup stock rom na pia uweze kuflash in case umebrick device yako
 
wadau mi simu yangu inajiwasha data yenyewe nifanyaje ili iache kurestore nimefanya sana
 
acha kabisa mkuu mimi nimemodify kernel cm yang inapandisha 4G sa hv ,nimebadili font, nimeongeza themes nyingne ,nimeongeza ringtones nyingne ,nimeedit build prop ,nimebadilisha shut and power on animation, nime ongeza network tweaks kweny etc ,nimeunistall pre installed aps kuna apps ambazo ninazipenda kwa hyo nmezfanya system apps nnaweza kupatch apps to apps with no adds kwa hyo mkuu atulingani

warning uwe umebackup stock rom na pia uweze kuflash in case umebrick device yako

Hehehe mkuu, danganya mtu mwingine sio mimi, huwezi badili kernel ukapata 4G, 4G hadi uwe na capable hardware sio kitu unapata tu kwa software... Nafahamu computer architecture vizuri tu kujua something like that is impossible.
Kubadili fonts na themes huitaji root, network tweaks pia sijui ufanye tweak ipi so far bongo bottlenecks ya simu nyingi ni mitandao... Labda unambie kufuta some apps na kuchange rom peke yake. Which so far i dont need....
Advantage kubwa sana nayoona ni moja tu, ya kuweka app za security zinazoingia direct kwenye system ili simu ikiibiwa kama aliyeiba hatojua jinsi ya kuzifita then unaweza kumkamata.. Thats the only thing, uliyosema hapo juu uongo mtupu
 
mkuu tuweke dau sh ngap ngap af tumtumie Invisible ili nivalidate nilichosema af mwsho mshndi apewe chake
 
Last edited by a moderator:

mkuu sema bas mbona umekimbia
 
mkuu tuweke dau sh ngap ngap af tumtumie Invisible ili nivalidate nilichosema af mwsho mshndi apewe chake

Aisee unajaribu kunipotezea muda, hata tukiweka dau hutonilipa.. ITS IMPOSSIBLE, huwezi tweak simu ambayo haisupport 4G ikawa 4G HATA SIKU MOJA.... Hiyo mnaifanya sayari nyingine sio duniani. Nenda kawadanganye wenzako aisee sio mimi
 
mkuu sema bas mbona umekimbia

Sio muda wote kila mtu anakua hewani JF, unajibu alafu unasubiri.. we hata masaa hayajapita ushaanza kulalamika... Waongo ndo hua walivo, wanapanick sana...
 
Aisee unajaribu kunipotezea muda, hata tukiweka dau hutonilipa.. ITS IMPOSSIBLE, huwezi tweak simu ambayo haisupport 4G ikawa 4G HATA SIKU MOJA.... Hiyo mnaifanya sayari nyingine sio duniani. Nenda kawadanganye wenzako aisee sio mimi

usiongee sana tuweke dau mzee na ata uje mtandao gan 4G yake ntaikamata tu
 
Waste of time talking to you, em tafadhali nenda google soma 4G ni nini, kama unakamata 4G manake simu yako ina hardware ya kusupport 4G, haina haja ya kutweak chochote kama unavodai wewe.... Kama simu yako ni 3G au anything less, piga hua huwezi shika 4G, sababu ni hardware limitations. Ni sawa na kusema monitor ya 720p inaweza kua 4K, its impossible... Sasa wewe kama ni mvivu sana wa kusoma ukaelewa, endelea kubishana... Dau dau, una hamu sana na dau ambalo huwezi lipa, watanzania bna..
 
aya mjuaji nakuacha kama ulivyo

ila kidogo ili uanze kuamini kernel inakua imeziblock bands kama una root browser nenda system>>app>>system ui apk>>iclick italeta pop up>> click view>>click res>>then click (((DRAWABLE-HDPI)) angalia vitu vyote utakavyokua unaviona utaniambia

mimi ni mjinga kwa hyo ntaishia hapo
 
Mkuu drawable-hdpi folder halihusiki na band yoyote ile.. Hilo hua ni folder linalochukua images ambazo zinatumiwa na app flani, I develop android applications natambua vizuri android inafanyaje kazi.. Na bands haziwi locked, kinachomiss ni hardware tu, hakuna kampuni ambayo inawajinga inaweka hardware inayosupport bands zote alafu ikazilock.. whats the use ya kuweka sasa si wangetumia cheap hardware kuokoa pesa.. what u say simply doesn't make sense
 
Android ni Free market tu uchafu mwingi upo huku ata playstore unaona app zilivo za ovyo then Virus cdhani kama wana zuru sana simu zetu kiukweli nina muda mrefu sijihusishi na playstore kabisa napakua blackmart na stores zingine ..Android bila kuroot na ku allow non playstore app duh sijui utaifaidi nini asee but kama unapenda kitu cha uhakika ww vuta Apple phones tu

Sasa kama android unaroot na ina apps kibao playstore, iOS unaenda kufanya nn ?
 
acha kabisa mkuu mimi nimemodify kernel cm yang inapandisha 4G

Take your time and spend it a lot on learning what's the function of kernel.
Thereafter you'll examine how fool you are. With absolutely certainty am saying this.
Kernel function mainly on cross-linking software with hardware, then 4G capability rely on hardware specs, so modifying kernel tend to affect none of your phone network band to detect 4G if hardware specs z 3G.

Simply you mean you've had modified your kernel to display something on your software which isn't present on your hardware.
Those are fictional stories go to another forum you may fool somebody out there.

sa hv ,nimebadili font, nimeongeza themes nyingne ,nimeongeza ringtones nyingne ,nimeedit build prop ,nimebadilisha shut and power on animation, nime ongeza network tweaks kweny etc ,nimeunistall pre installed aps kuna apps ambazo ninazipenda kwa hyo nmezfanya system apps nnaweza kupatch apps to apps with no adds kwa hyo mkuu atulingani

warning uwe umebackup stock rom na pia uweze kuflash in case umebrick device yako
 
aya mjuaji nakuacha kama ulivyo

ila kidogo ili uanze kuamini kernel inakua imeziblock bands kama una root browser nenda system>>app>>system ui apk>>iclick italeta pop up>> click view>>click res>>then click (((DRAWABLE-HDPI)) angalia vitu vyote utakavyokua unaviona utaniambia

mimi ni mjinga kwa hyo ntaishia hapo

Labda ungesema simu unayotumia ni aina gani na model 😓
 
Kuna simu ya sony nili-restore matokeo yake haikubali kupata internet tena hata kama una kifurushi. Tatizo nini hapo wakuu?
 
smartfon za wadada wengi huwa ndo zinakua kwenye risk maana hawana hata muda na mambo hayo ,wao ni watsaap tu ,kuna cm ya mdada mmoja jana nilikua naitumia inaji restart mara kwa mara ,ina apps ambazo hata yeye amekiri hajawah kudownload yan usumbufu juu ya usumbufu ,tofauti ukishka cm ya mwanaume cjui ni kwann.
 
Back
Top Bottom