Jinsi vijana wa sasa wanavyopoteza majina yao

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Hoja za kizushi kwa mwanamke

Umewahi kujiuliza kwa nini semina za kisasa zinataka ustaarabu wa ndoa uishie nje, mkiwa chumbani hakuna ustaarabu? Yaani mnapotaka kutiana vurugu zifanyike; romance za kutisha, kunyonyana, kuingiziana vidole, kulambana masikio, miguu, vidole, shingo n.k. Unaijua sababu?

Sababu ni moja tu, uzoefu wa kufanya ngono. Unapooa mwanamke aliyekubuhu kwenye ngono, aliyepitia ujuzi wa aina tofauti akafuzu vema, aliyelizwa kwa staili mbalimbali halafu uje umpe simple styles ujue unajitengenezea bomu. Kwa kawaida ndoa ni takatifu, hata modality ya mapenzi ndivyo ilivyo. Ni vigumu sana kumvuruga mke wako jinsi anavyovurugwa kahaba, mke ni mke tu, ana heshima yake, lakini jamii ya kisasa inakutarajia ufanye hivyo.

Usipomtendea mkeo kama kahaba basi atatafuta mwanamume wa nje kumtenda hivyo, ndivyo jamii inavyotuasa. Hapo kuna hatari moja, wanaume wengine huvurugana na makahaba kitandani kwa miondoko kede kede mpaka mwishowe hujikuta wameishia kufirana.

Mambo haya huendelea hivyo kwa baadhi ya wanaume pale wanapopitia experience za kuvurugana kitandani wawapo na wake zao, na kwa kuwa mwanamke amefundwa kumdhibiti mwanamume kwa mbinu yoyote ile, baadhi hawawezi tena kujizuia, wako tayari kumpa nyuma ili kumtuliza asitangetange. Mbinu hii ni ya kimafia. Chanzo ni nini? Si kingine bali ule usemi mwanamke mtende kama kahaba muwapo chumbani, ingawa tafsiri pana ni kuwa umeoa kahaba!! Mwanamke naye amefundishwa akafundishika kuwa kuta nne za chumba zimeficha siri nyingi. Kwamba mume akitaka nyuma apewe maadam ni siri yenu wawili chumbani!!

Kijana aliyejizuia kufanya ngono, ama aliyekuwa akishiriki ngono za woga kwa sababu tu ya msukumo wa vijana wenzake akioa mwanamke ambaye ametembea na wanaume wengi, anakwenda kwenye semina ya ndoa kuelezwa usilete ustaarabu wako chumbani, mkijifungia chumbani ufanye mkeo kama unavyomfanyia kahaba, ila tu usimle nyuma. Hebu jenga picha, unadhani kijana huyu ataanzia wapi? Kama maisha yake yote alijiepusha na uhuni, halafu kumbe anakuja kukuta uhuni na umalaya ni hitajio la ndoa!! Ataishia kujiona mjinga kweli kweli kwa kutofanya mazoezi ya kutosha, halafu atapatwa na msongo wa mawazo kwa vile hatokuwa na uhakika tena kama atamudu kumridhisha mkewe mtarajiwa.

Hata ukihudhuria mafundisho ya makanisani, misikitini, semina mbalimbali za kuhusu ndoa, watawashauri mkiwa chumbani mmefunga milango, mwanamke awe kahaba na mwanamume amtende mkewe kama mtoto wa kihuni, ndio atamridhisha. Matokeo yake ndio malalamiko ya kibamia, hajui kufanya mapenzi, haniridhishi n.k.

Umewahi kujiuliza ni kwa nini mwanamke hata unapomwoa ni lazima uendelee kumletea zawadi ndogo ndogo ili kuhakikisha hakusaliti? Ni kwa kuwa ameishi maisha hayo kwa muda mrefu kiasi kwamba imekuwa sehemu ya maisha yake, sehemu ya kumpa furaha, pia ameigeuza kuwa ndio dalili kuu ya mapenzi. Unaweza kujenga nyumba, kumnunulia gari, kumpa kila kitu ndani lakini akakusaliti kwa sababu tu hukumletea maua, chocolate, chupi, nywele za bandia n.k.

Ubongo wake umejengwa kuamini kuwa hayo ndio mapenzi ya kweli kutokana na maisha ya kuishi na wapenzi kabla ya ndoa, ili waendelee kupata huduma yake ilibidi wamdanganye kwa vijizawadi vidogo vidogo naye akaamini kuwa hivyo ndio vinaashiria mapenzi ya kweli.

Mwisho wa hoja za kizushi kwa mwanamke, mada kamili:

Kuna nyakati tatu za muhimu kwa mwanamke ambazo zitaamua kesho yake. Kuzichezea nyakati hizi ni kupoteza majira (time):

1. Umri kati ya miaka 14 mpaka 18 mwanamke hahitaji mambo makubwa sana. Akili yake itautoa mwili kwa zawadi ya vitu vidogo vidogo tu kama leso, chips, kalamu, daftari, juice, soda, pesa ndogo ndogo kama 2,000/= n.k. Kumnunulia vitu vya namna hii binti kunamfanya ajione mwenye kupendwa mno na atakuwa tayari kuutoa mwili wake kwa gharama ndogo kiasi hiki.

2. Miaka 18 mpaka 25 mwanamke atatarajia mwanamume ampatie pesa za kuweza kutimizia mahitaji madogo madogo ya maisha kama kununua pedi, lipstick, make up, kwenda saloon, kununua mavazi yaliyo kwenye fashion n.k. Akipata mtoto atatarajia pesa za matunzo ya mtoto pia, hata kama si baba wa mtoto, atakuambia uthibitisho kuwa unampenda kweli ni kumjali mwanaye. Hiki ni kipindi atatarajia umtoe out, umpeleke kumbi za starehe, beach, n.k.

3. Umri kati ya miaka 25 mpaka 28 ndipo wanawake wengi wanapogundua kuwa kuna maisha ya starehe za ujana ndani ya ndoa pia. Hiki ni kipindi ambapo wazo la ndoa linakuja ili kumdhibiti mwanamume atakayemtimizia mahitaji yake ya starehe hizo na sio kwa minajili ya kujenga familia. Hapa ndipo utawakuta wanawake wasiopenda kunyonyesha watoto ili kutunza mwonekano.

Ni wakati wa kurekebisha sura ili kuwateka wanaume walioharibija akili, wanaoendeshwa na tamaa ya mwili kwa kuongeza hips, makalio, kuchubua ngozi, kuinua matiti yaliyolala, kuvaa tight zenye sponge, nywele bandia, nguo za kuwaacha wazi n.k. Hapa ndipo majira huanza kupotea vichwani mwa wanawake, yaani ujana huufunika wakati.

Ndipo utasikia mwanamke akisema anatafuta mwanamume wa aina fulani, mfano: awe anajitambua, awe mrefu kiasi, asiwe na kitambi, mwenye kipato kikubwa, awe anamiliki nyumba, asiwe mlevi, mwenye hofu ya Mungu n.k. Yaani mwanamke anatafuta mwanamume anayejitambua, mwenye hofu ya Mungu wakati yeye mwenyewe hajitambui wala hamwogopi Mungu! Ndio maana wajanja wachache hujifanya wacha Mungu ili kuwanasa wanawake hawa wenye sifa za kikahaba huku wakitaka ndoa ili kukidhi kiu yao ya kupata matunzo. Utakuta kibinti Kilokole kinakwenda kutoa shukrani kanisani kwa kupata mchumba, halafu baada ya kugawa mwili kwa sana ndoa haifungwi, mwanamume anasepa, mission accomplished!!

Mwanamke anayejitambua na mwenye hofu ya Mungu hawezi kutafuta mwanamume wa kumwoa mfano wa kutafuta ajira bali yeye ndio atatafutwa, pia hawezi kutafuta mwanamume kwenye social media kama kweli ana hofu ya Mungu, ni dalili ya wazi kabisa kuwa yeye mwenyewe hamjui Mungu. Mwenye hofu ya KWELI ya Mungu anajua atapata mume wa kweli huko huko kwenye ufalme wa Mungu.

Kipindi hiki mwanamke anakuwa na picha fulani ya mwanamume anayemhitaji na mara nyingi picha hii hutokana na aina ya maisha aliyoishi, kama alikuwa mtu wa starehe atataka mwanamume atakayekidhi hilo, kama ni mtu wa kupenda pesa, atatarajia mumewe awe na pesa, kama ni vuguvugu, yaani asubuhi kwa Mungu jioni kwenye raha za dunia atataka mwanamume mcha Mungu. Ni kipindi ambacho mwanamke anajiona ana uhuru wa kujichagulia mwanamume wa aina aitakayo hata kama watajitokeza wanaume kadhaa kutaka kumuoa.

4. Kuanzia miaka 28 na kuendelea mwanamke ndipo anapogutuka kuwa anaondoka kwenye rika ambalo wanaume wengi hutafuta wanawake wa kufunga nao ndoa, anaanza kupoteza mvuto wa nje kutokana na umri. Ni kipindi cha hofu kuu na majuto makubwa baada ya kupoteza wakati kwa kutumikia starehe. Hapa ndipo pamejaa kila aina ya lawama na malalamiko dhidi ya wanamume, jinsi gani wanawachezea mabinti wasiwaoe, jinsi wanavyotoa ahadi za uongo, jinsi ambavyo siku hizi HAKUNA WAOAJI n.k.

Kuanzia umri huu mwanamke atakuwa tayari kuolewa na mwanamume wa hali yoyote mradi aingie kwenye rekodi ya ndoa. Wapo wanawake ambao walishapoteza kabisa majira (seasons) vichwani mwao kiasi kwamba wanapoingia kwenye umri huu wanahangaika kutumia kwa wingi sana vipodozi mbalimbali, kufanya operesheni za kurekebisha miili, kutumia madawa mbalimbali mradi tu wawe na mwonekano wa mabinti wa kundi la pili.

Kiwango kikubwa cha kipato hutumika hapa. Hapa ndipo penye asilimia kubwa ya shutuma za kunyang'anya na kunyang'anywa wanaume , kuweka vijana unyumba, kupigania kujaribu kuzuia wanaume wenye umri mkubwa wasioe mabinti wa kundi la pili n.k..

Kwa hiyo basi, mtazamo wa maisha kwa mwanamke ni wa muda mfupi kwa maana kwamba anakwenda na kilichopo wakati huo na sio kitakachokuwa siku zijazo. Ushauri kwa kundi hili ni kumrejea Mwenyezi Mungu tu, na kuacha kulaumu kwani lawama halisi zimepaswa kuelekezwa kwa wazazi na walezi kwa kutowalea kwenye njia iwapasayo kuifuata.

Kijana wa kiume

Hoja za kizushi

Kijana wa kiume anapofanya mapenzi, haijalishi ni staili ipi inatumika, mradi tu awe kwenye comfort zone, atakojoa tu. Kama mwanamke atamnyonya dyudyu, atamtomasa mwanamume (zamani mwanamke ndiye alikuwa anatomaswa, siku hizi hata wanaume wanatomaswa), hata kama mwanamke hatotekeleza hayo, mwanamume rijali atakojoa tu. Maana yangu ni nini? Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa staili za ufanyaji mapenzi zipo kwa ajili ya kumridhisha mwanamke zaidi kuliko mwanamume.

Hivyo vurugu zote za kitandani, manual zote zinazoandikwa, video zote za ngono mtakazotazama zinalenga ama kuamsha hisia za mwanamume na mwanamke (video) ama kumpa ujuzi mwanamume wa jinsi ya kumridhisha na kumtawala mwanamke kitandani. Staili mbalimbali za kisasa ni unnatural, sio za kiasili, ndio maana zinahitaji wawili hawa wawe atheletes, ili miili yao iwe nyumbufu. Nyingine zinahitaji kijana awe anahudhuria gym kuweza kumnyanyua bibie vizuri kwa muda mrefu.

Ndio inapokuja hoja ya vibamia. Kama mwanamke amezoeshwa kuingiliwa na madude ya saizi ya chupa ya soda, wewe mwanamume mwenye uume wa wa asili (natural) utawezaje kumpa raha? Je, hayo siyo mambo yafanywayo na makahaba, kuongeza saizi ya sehemu zao za siri, ili kwamba waweze kulala na wanaume wengi kwa siku? Kwamba anapoingiliwa hafiki kileleni hivyo kubaki muhitaji!!? Ukioa mwanamke wa aina hii utabaki kutafuta video za ngono ili kuona kama iko staili bingwa ya kuweza kumsuuza roho yake. Mwishowe wajanja wanakulisha sumu kuwa mwanamke bika ya kuingiliwa nyuma haridhiki!! Unapotezwa mazima.

Kuna hoja huwa inasemwa mara kwa mara humu jukwaani, mwanamke akijizoeza kufanya mapenzi atapata wakati mgumu kutulia kwenye ndoa yake kuliko mwanamume, ingawa huwa inaleta manung'uniko na shutuma nyingi sana, lakini ndio ukweli. Kijana akioa mwanamke mzoefu atakuwa na kazi kubwa sana kumtuliza kitandani, kwa sababu atatakiwa amtendee kama kahaba, pasipo kujua huko alikokuwa walimfanya vipi.

Kwenye semina watasema ni vema kila mmoja amweleze mwenzake ni wapi akiguswa anasikia raha, ukweli ni kuwa hayo ndio maeneo yaliyoamshwa nyakati zile alipotumikia ukahaba. Utatakiwa kujua ni style zipi zinazomkosha bibie, sasa omba zisiwe zile zinazokutaka uwe athlete na mwili wako huo uliokomaa, utabaki kuumia moyoni kwa kushindwa kutekeleza jukumu muhimu. Utaishi maisha ya hofu kubwa usijue nini kitatokea kwa kushindwa kwako kumtimizia bibie matakwa yake hivyo kushindwa kukata kiu yake. Leo nikupe siri moja kubwa, mwanamke ana maeneo mengi ya kugusa ili kuamsha hisia zake (nyege), lakini mwanamume ana eneo moja tu, MACHO. Mwanamume hata akiona shanga safi tu zomechomoza kidogo kiunoni, ama chupi imeonesha kidogo kati ya mapaja ndani ya sketi, ama chuchu kwenye blauzi nyepesi nk. basi ndani ya suruali askari ataweka silaha mbele tayari kwa vita!! Kama mie mwongo semeni enyi wanaume.

Mwisho wa uzushi, turejee kwenye mada
Kijana hupitia nyakati tatu muhimu katika kukua kwake:

1. Kipindi kati ya miaka 16 na 18. Kwa kawaida mwanamke anawahi kuuingia ujana kabla ya mwanamume, ndio maana nikaanzia miaka 16 badala ya 14. Hiki ni kipindi ambacho kijana anaingia kwenye balehe, anaanza kujifunza usafi, kuoga, anajenga ujasiri wa kuongea na wanawake, anajifunza mbinu mbali mbali za kujipatia pesa za kukidhi mahitaji madogo madogo na pia za kumweka karibu na mabinti.

Ni kipindi ambacho anavutiwa na upande wa pili wa jinsia, labda kama awe hakwenda kwa mujibu wa mpangilio wa asili wa maisha na kuwa shoga. Hapa ndipo hukutana na vibinti vinavyochipukia kwenye rika la miaka 14 mpaka 18 ambavyo havina uangalizi wa wazazi na jamii (siku hizi viko vibinti mpaka umri wa miaka 12 vinajihesabu kufikia umri wa ngono). Kozi ya mapenzi huanzia hapa kama kijana huyu hana uangalizi ama mwongozo wa wazaziwa wazazi.

2. Inapofika umri wa miaka 18 mpaka 26 kijana anakuwa katika wakati wake wa kutamba. Hapa mbinu za maisha huongezeaka, elimu, vyanzo vya uchumi kadhalika. Ni kipindi ambacho hakuna linaloshindikana kwa kijana. Wakati huu rekodi mbalimbali huwekwa, mfano kutembea na mwanamke superstar wa bongo movie, mwanamziki, binti wa familia tajiri, mkurugenzi n.k. Katika kipindi hiki shughuli nyingi za kingono huendelea pasipo malengo maalum ya kindoa zaidi ya kutaka umaarufu na sifa za kijinga. Ni kipindi ambacho wanawake wenye fedha (sugar mummy) huwatumia vijana hawa kukidhi kiu zao za ngono.

Huu ni wakati ambapo wanaume wenye msimamo wa maadili ya kujenga familia bora hujiondoa sokoni kwa sababu hawaendani na mfumo, ni kipindi ambacho ubora hupimwa kwa jinsi kijana anavyoweza kumudu kutimiliza matakwa ya kumstarehesha binti. Sasa wanawake wa rika kati ya miaka 18 mpaka 25 hujiingiza kwa nguvu sokoni huku wakiota ndoto za kujipatia wanaume wenye uwezo fulani kukidhi starehe zao wawachukue kama wake zao.

Bahati mbaya vijana wengi kwenye nyakati hizi huwa hawana mtazamo wa kuwa na familia bali kujistarehesha na kufurahia maisha kwa kuwatumia mabinti hawa. Ni kipindi ambacho wote hawajitambui ambapo wanawake hupoteza majira yao na wanaume walio wengi majira yao husimama. Nasema hivyo kwa sababu wanawake majira yao huenda sambamba na umri wa kuzaliwa (parallel) wakati wanaume majira yao huenda sambamba na kupevuka akili zao.

Ni kwamba, mwanamke aliyetumikia starehe akifikisha miaka 30 akaamua kutulia atakutana na kikwazo cha umri kumpata kijana wa ndoto zake, lakini mwanamume aliyesimamisha majira yake akatumikia starehe akiamua kutulia (amekua) ana uwezo wa kujitwalia binti wa ndoto zake. Mwanamke hushindana na wakati ili kujiweka kwenye mwelekeo bora kimapenzi lakini mwanamume atapambana na wakati katika kujijenga kiuchumi tu. Lijapo suala la mapenzi, mwanamume hana muda maalum, mfano ni kile alichofanya Prof Kapuya na marehemu Mengi, ni personal test na wala hakuna dhambi katika hilo.

3. Kipindi cha umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
Kipindi hicho ni cha mwanamume kuweka silaha chini na kuanza kuwaza habari za ndoa. Ni kipindi ambacho mwanamume anatarajiwa awe na mji wake ambacho hutafisiriwa kama heshima kwake. Ni kipindi ambacho hata wazazi pia hujisikia aibu na fedheha kama kijana wao hajawa tayari kujitwalia mke. Ndio wakati ambapo ile saa ya majira huanza kutembea tena kuanzia iliposimama na maisha ya kimpangilio kuanza tena.

Baada ya maandalizi ya muda wa mwaka mpaka miaka mitatu kijana atakuwa tayari kuwa na mke, ila hapa kuna tatizo moja kwa wanawake. Kijana huyu huyu walioko kwenye rika moja, ambaye walitumia ujana pamoja, wakastarehe kwenye viwanja mbalimbali, atakapotaka kuoa ni nadra sana kuwarudia wanawake aliostarehe nao.

Ziko sababu kuu mbili ambazo mimi binafsi nazifikiria, kwanza kabisa ni busara mwanamume amzidi mwanamke umri kuanzia miaka 6 na kuendelea kwa sababu za kimaumbile. Wanawake wanawahi kuuingia ujana na pia wanawahi kuutoka na kuuingia uzee. Sababu ya pili ni kuwa, tayari kijana ameshasoma mwenendo wa binti huyu, wanaume mbalimbali aliotembea nao baada ya kuachana naye, jinsi anavyotukuza starehe n.k.

Akiwaza haya hapati picha ni jinsi gani ataanzisha familia na mwanamke huyu ikadumu. Kumbuka tayari huyu mwanamke anaelekea kupindukia umri wa kuolewa kwa mtazamo wa jamii, hivyo hata akiamua kutulia bado kijana atadhani mwanamke huyu ametulia ili tu apate mume, kisha historia itajirudia. Ni vigumu sana kwa mwanamume kuoa mwanamke ambaye anajua vema historia yake kama ilikuwa mbovu.

Atakachofanya kijana ni kurudi chini kwenye rika la miaka kati ya 18 mpaka 25 ajitafutie binti anayedhani hajapoteza majira amfanye kuwa mke. Ndio maana jamii inaamini mwanamke akivuka umri huo ni vigumu sana kuolewa. Hata kama mwanamume itamchukua miaka 40 kuweza kurejea majira yake, haimaanishi kwamba ataoa mwanamke wa miaka 36; majira yalisimama akiwa na miaka 23, yakianza kutembea ataanzia hapo kusaka mke wa ndoa.

Pia ni vema kutambua kuwa wapo vijana wanaopoteza majira kabisa kwenye kipindi hiki. Utawatambua kwa kuona mwanamume wa miaka 40 bado anatafuuta kuishi kama kijana wa miaka 20, hawa baada ya majira yao kusimama yanapoanza kutembea tena, yanarudi nyuma yaani anticlockwise!!

Leo naomba mniruhusu nitoe mfano wa biblia:

Zaburi 103 (Biblia Takatifu)

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.
³ Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,
⁴ Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;


Hayo mema atakayoushibisha uzee wako ni pamoja na kupata mke utakayemfurahia baada ya renewal of mind, kupewa mawazo mapya, na hapo ndipo majira yako yanapoanzia, ujana wako unarejea kama tai kuanzia pale uliposimamishia majira yako. Tena yapo maandiko zaidi:

Mhubiri 12 (Biblia Takatifu)

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
² Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua;


Hapo kila mwenye ufahanu akisoma andiko liko wazi na ni mfano mzuri kwa vijana wanaodhani hakuna kesho.

Namalizia kwa kuweka andiko hili lenye maana kubwa sana kwa mabinti wenye masikio:

Isaya 47 (Biblia Takatifu)

¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Sasa, basi, sikia haya, wewe upendaye anasa, ukaaye na kujiona salama, wewe usemaye moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi; sitaketi mfano wa mjane, wala sitajua kufiwa na watoto;

⁹ lakini mambo haya mawili yatakupata katika dakika moja siku moja, kufiwa na watoto, na ujane; yatakupata kiasi kitimilifu, uchawi wako ujapokuwa mwingi, na uganga wako mwingi mno.


☆☆☆Hufikia wakati mwanamke akatumia uganga na uchawi kunasa mwanamume

¹⁰ Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi.

¹¹ Kwa sababu hiyo ubaya utakupata; wala hutajua kutopoa kwake; na msiba utakuangukia; hutaweza kuuondoa; na ukiwa utakupata kwa ghafula, usioujua.

¹² Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.


☆☆☆ Ujanja na kupenda starehe mwishowe huwa ukiwa mkubwa. Wale tena uganga hauna msaada.

¹³ Umechoka kwa wingi wa mashauri yako; basi, na wasimame hao wajuao falaki, wazitazamao nyota, watabirio kila mwezi mambo ya mwezi huo, wakakuokoe na mambo yatakayokupata.

¹⁴ Tazama, watakuwa kama mabua makavu; moto utawateketeza; hawatajiokoa na nguvu za mwali wa moto; hautakuwa kaa la kukota moto, wala moto wa kukaa karibu nao.


☆☆☆ Hakuna mganga wala mchawi awezaye kukunusuru na kishindo cha wakati, ukiuchezea.

¹⁵ Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatanga-tanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.]


☆☆☆ Wanaume wote uliokula nao ujana wako watakukimbia mbali, kila mmoja akienda zake kujitafutia binti wa kuoa aliye safi. Utabaki mkiwa na majuto yatakuandama siku zote za maisha yako, mpaka pale utakapoamua kutubu na kumrejea muumba wako.

Ni haja ya moyo wangu kuona jamii inarejea kwenye maadili ili kukiokoa kizazi hiki na upotevu. Nawatakia nyote weekend njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom