Jinsi uungwana wa Mbowe unavyompa kichwa Kailima

Mkurugenzi wa Tume alishawai kua mwenyewe kiti wa UVCCM singinda amna jipya tunapoteza mda
 
Asante sana mkuu , unaweza kuongeza nyama kidogo katika hili ili dunia imfahamu Kailima ni nani ama labda waweza kuanzisha uzi wa hili ili wadau wafunguke zaidi .
 
...tatizo ni huyo Mashinji,..Mbowe hana shida.
....Mashinji ndio hopeless kabisa
 
Mbowe mtu mshenzi sana, alitaka kuchomeka mamluki 15 watengeneze vituo hewa badae aje kusema kaibiwa kura, alivyokataliwa ndio kwa hasira kaanza kuandamana na kuponda mawe watu, mungu nae sio mnafiki kaua ndugu yake wa damu
 
Wewe na Rpc Mambosasa aliyekiri Polisi walihusika kuua nani mkweli ?
 
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi aitwaye Kailima amekuwa mtu wa porojo zisizo na mashiko yoyote lakini hana lolote linapofikia suala la kutenda , hajafika hata robo ya ubora wa Rajab Kiravu , sijui aliokotwa wapi ?

Kama Sanduku la kura linaibwa na raia mbele ya polisi , lakini baadaye kidogo linarejeshwa kituoni na polisi haohao walioshuhudia mwizi akiondoka nalo tena bila huyo mwizi kukamatwa , unawezaje kusema uchaguzi huu ulizingatia sheria ? Je ni masanduku mangapi yalichakachuliwa bila kuonekana ? Ni nani ataamini tena tume hii ?

Hivi Kailima anawezaje kuwaona watu wote wa upinzani ni mazezeta kiasi cha kuongea uozo kama huu ?

Mh Mbowe umekuwa muungwana wa kupitiliza , Hata Mitume wa Mungu kuna wakati walitenda ili kukomesha uharamia , ifike wakati watu wa aina ya Kailima waanze kuchagua maneno ya kuongea , inaumiza sana .

Unapopewa maelekezo na bwana mkubwa kwamba "fanya lolote uwezalo, ushindi lazima upatike, ama sivyo...." matokeo yake ndio mbinu "desparate" kama anazofanya Kailima na wenzie wa NEC.
 
Uzuri mmoja historia yake haitafutika daima pale nec na Mungu huyu tunayemtukuza sote atampa maisha marefu ili ashuhudie na kuyafaidi machungu anayowasababishia wasio na hatia! Asiwe mvivu wa kusoma historia za wengine wa aina yake kama Kivuitu na Pinochet ambao hukumu zao ziliwasubiri hadi uzeeni ndipo zikajionyesha!
 
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi aitwaye Kailima amekuwa mtu wa porojo zisizo na mashiko yoyote lakini hana lolote linapofikia suala la kutenda , hajafika hata robo ya ubora wa Rajab Kiravu , sijui aliokotwa wapi ?

Kama Sanduku la kura linaibwa na raia mbele ya polisi , lakini baadaye kidogo linarejeshwa kituoni na polisi haohao walioshuhudia mwizi akiondoka nalo tena bila huyo mwizi kukamatwa , unawezaje kusema uchaguzi huu ulizingatia sheria ? Je ni masanduku mangapi yalichakachuliwa bila kuonekana ? Ni nani ataamini tena tume hii ?

Hivi Kailima anawezaje kuwaona watu wote wa upinzani ni mazezeta kiasi cha kuongea uozo kama huu ?

Mh Mbowe umekuwa muungwana wa kupitiliza , Hata Mitume wa Mungu kuna wakati walitenda ili kukomesha uharamia , ifike wakati watu wa aina ya Kailima waanze kuchagua maneno ya kuongea , inaumiza sana .
Cha msingi ni kwamba sanduku liliporwa na juhudi zikafanyika hadi likarudishwa. Wewe ulitaka lisipatikane? Halafu acha kumlinganisha mkurugenzi wa time na uchafu wa saccos.
 
Back
Top Bottom