Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,236
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi aitwaye Kailima amekuwa mtu wa porojo zisizo na mashiko yoyote lakini hana lolote linapofikia suala la kutenda , hajafika hata robo ya ubora wa Rajab Kiravu , sijui aliokotwa wapi ?
Kama Sanduku la kura linaibwa na raia mbele ya polisi , lakini baadaye kidogo linarejeshwa kituoni na polisi haohao walioshuhudia mwizi akiondoka nalo tena bila huyo mwizi kukamatwa , unawezaje kusema uchaguzi huu ulizingatia sheria ? Je ni masanduku mangapi yalichakachuliwa bila kuonekana ? Ni nani ataamini tena tume hii ?
Hivi Kailima anawezaje kuwaona watu wote wa upinzani ni mazezeta kiasi cha kuongea uozo kama huu ?
Mh Mbowe umekuwa muungwana wa kupitiliza , Hata Mitume wa Mungu kuna wakati walitenda ili kukomesha uharamia , ifike wakati watu wa aina ya Kailima waanze kuchagua maneno ya kuongea , inaumiza sana .