Andamaneni basi kumlaImisha kailima ajiuzulu!Mh Mbowe umekuwa muungwana wa kupitiliza , Hata Mitume wa Mungu kuna wakati walitenda ili kukomesha uharamia , ifike wakati watu wa aina ya Kailima waanze kuchagua maneno ya kuongea , inaumiza sana .
Kazi yenu kulalamikia kila mtu anaekatiza mbele yenu.Huyo Mbowe alivyo laini kama mkate wa boflo uliotoswa kwenye chai ya rangi ana kipi cha kuwaambia makarai zaidi ya kuwahimiza tuwe kama Libya na syria,wakivunjwa miguu anatoroka kwa kuvaa baibui