Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,831
Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves
Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves ambayo imejichokea baada ya mechi nzito dhidi ya City
Na hili sip tu kwa Wolves, kabla ya hapo
Man City vs Leicester, kisha Liver vs Leicester
Leicester City baada ya kucheza mechi nzito na Man City, alipangwa kukutana na Liverpool ambayo ilimshindilia goli nne kwa bila,
Liver alimsoma Leicester udhaifu na uimara wake dhidi ya City na kuutumia, pia alimkuta Leicester kajichokea sababu ya mchaka mchaka wa City
Mechi zinazofuata
Ni Man City vs Sheffield, kisha Liverpool vs Sheffield
Hapa baada ya mechi na Wolves, City atakutana na Sheffield United, itakuwa mechi ya kukata na shoka, sababu Sheffield wapo kwenye form nzuri, pia Vity hatokubali kupoteza mechi ya pili mfululizo
Baada ya Sheffield kupambana vikali na kujeruhiana na Man City, then mechi inayofuata baada ya siku 2 anakutana na Liverpool ambaye anakuwa keshamsoma udhaifu na uimara wa kikosi kwa kipindi cha sasa, anamshindilia goli kirahisi
Hii ratiba ipo hivi kipindi hiki cha sikuukuu ambacho mechi zinakuwa zimebanana na wachezaji kuchoka, ni kipindi muhimu sana kwenye kuamua mshindi wa ligi
Je hii ni coincidence tu au ni makusudi?
Sent using Jamii Forums mobile app