Jinsi Ratiba ya EPL ilivyopangwa kumbeba Liverpool, ni makusudi au coincidence?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,725
18,620
Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves

Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves ambayo imejichokea baada ya mechi nzito dhidi ya City

Na hili sip tu kwa Wolves, kabla ya hapo

Man City vs Leicester, kisha Liver vs Leicester

Leicester City baada ya kucheza mechi nzito na Man City, alipangwa kukutana na Liverpool ambayo ilimshindilia goli nne kwa bila,

Liver alimsoma Leicester udhaifu na uimara wake dhidi ya City na kuutumia, pia alimkuta Leicester kajichokea sababu ya mchaka mchaka wa City

Mechi zinazofuata
Ni Man City vs Sheffield, kisha Liverpool vs Sheffield

Hapa baada ya mechi na Wolves, City atakutana na Sheffield United, itakuwa mechi ya kukata na shoka, sababu Sheffield wapo kwenye form nzuri, pia Vity hatokubali kupoteza mechi ya pili mfululizo

Baada ya Sheffield kupambana vikali na kujeruhiana na Man City, then mechi inayofuata baada ya siku 2 anakutana na Liverpool ambaye anakuwa keshamsoma udhaifu na uimara wa kikosi kwa kipindi cha sasa, anamshindilia goli kirahisi

Hii ratiba ipo hivi kipindi hiki cha sikuukuu ambacho mechi zinakuwa zimebanana na wachezaji kuchoka, ni kipindi muhimu sana kwenye kuamua mshindi wa ligi

Je hii ni coincidence tu au ni makusudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka juzi wakati Pep anachukua ubingwa kwa gap la point nyingi, tulilalamika kuhusu magoli ya offsides, soft penalties nk.

So, sishangai malalamiko dhidi ya Liverpool.

Fergie tulishamlalamikia, Barca tulishawalalamikia.

Ni nature ya binadamu akishindwa anatafuta sababu ya kumpa faraja.
 
labda haujui hyo ratiba ya msimu wote imepangwa lini.
Hyo ni ligi kinachotakiwa kila mtu ashinde mechi zake. Mechi zipo 38 kila timu.
Wanachofanya Liverpool ni kushinda mechi zao basi . mimi ni shabiki wa Newcastle na Chelsea.
Sijakataa kuwa ni mabingwa, nimezungumzia hiyo ratiba je inawabebs kweli ama haiwabebi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Wolves kumshinda Man City Jana, Liverpool ndio atacheza na Wolves

Liverpool sio tu kuwa kapata nafasi ya kumsoma kiwango cha Wolves dhidi ya timu kubwa, bali pia atapambana na Wolves ambayo imejichokea baada ya mechi nzito dhidi ya City

Na hili sip tu kwa Wolves, kabla ya hapo

Man City vs Leicester, kisha Liver vs Leicester

Leicester City baada ya kucheza mechi nzito na Man City, alipangwa kukutana na Liverpool ambayo ilimshindilia goli nne kwa bila,

Liver alimsoma Leicester udhaifu na uimara wake dhidi ya City na kuutumia, pia alimkuta Leicester kajichokea sababu ya mchaka mchaka wa City

Mechi zinazofuata
Ni Man City vs Sheffield, kisha Liverpool vs Sheffield

Hapa baada ya mechi na Wolves, City atakutana na Sheffield United, itakuwa mechi ya kukata na shoka, sababu Sheffield wapo kwenye form nzuri, pia Vity hatokubali kupoteza mechi ya pili mfululizo

Baada ya Sheffield kupambana vikali na kujeruhiana na Man City, then mechi inayofuata baada ya siku 2 anakutana na Liverpool ambaye anakuwa keshamsoma udhaifu na uimara wa kikosi kwa kipindi cha sasa, anamshindilia goli kirahisi

Hii ratiba ipo hivi kipindi hiki cha sikuukuu ambacho mechi zinakuwa zimebanana na wachezaji kuchoka, ni kipindi muhimu sana kwenye kuamua mshindi wa ligi

Je hii ni coincidence tu au ni makusudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi umelewa, leta point za Msingi!

Liverpool Liverpool Liverpool
Bingwa

Hutaki kajinyonge kuanzia miguuni

Mkuu siyo kina wambura waliopanga ratiba.....ilipangwa miezi kadhaa kabla ya ligi......Liverpool wapo vizuri this season tukubali tu sisi wengine na timu zetu na kina Arteta na Ole
 
Huyu mleta Uzi anamapungufu ya akili!
Ligi ina timu 20 na sio Liverpool na Manchester City!

Liverpool yuko on fire tu hata iweje!
Hizo mistakes za last year was a lesson for Liverpool!

Kwanza Manchester City hana mashabiki wengi hapa bongo!
Wanaolalamika ni wale timu zao hazina uelekeo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom