Jinsi rafiki yangu anavyotajirika kama utani tu

Siku zote wanasema Mungu akifungua riziki zako
Akuna wakuzuia
Na riziki ya mtu ni popote tu
Nina rafiki yangu kwasasa na muona baada ya miaka kazaa mbele jamaa yangu anaweza kuwa milionea tu mzuri sio wa shilling wa dollars
Huyo rafiki yangu mwezi wa 8 alipost dawa fulani za nguvu za kiume kutoka Tanzania sijui ni dawa gani sio vumbi la Kongo ni nyingine tu ambazo una koroga ndani ya chai alafu unakunwa

Huyo rafiki yangu alavyo post dawa hizo kuzileta uku Canada kwa bahati nzuri zikafika salama
Jamaa akanipa taarifa mimi kama rafiki yake Nikaona hii ndo fursa ya kuwakomesha hawa watoto wakizungu na weusi nikaenda kuchukuwa dawa kwake yeye alinipa kwa bure baada ya kupata dawa hiyo rafiki yangu mmoja hivi wakizungu siku moja akaona na kunwa chai ya dawa hiyo akauliza kama nakunwa nini maana dawa hiyo ni chungu saana sasa aliona ninavyo finya sura nikimeza dawa hiyo nikampa tu ukweli cha ajabu na yeye akaomba nikampa alikwenda kujaribu uko jamaa akafurahia dawa hiyo akataka tena ni mpe na nyingine tena Nikasema sina nikamwambia kuwa nina rafiki yangu mwingine ambaye anayo dawa hiyo ila Nikasema kama utani tu kuwa unatowa kwa pesa jamaa akasema nipo tayari kutowa pesa ili nipate dawa hiyo
Nikamtuma kwa huyo rafiki yangu
Nikamwambia jamaa kuwa huyu mzungu anataka dawa hiyo atakupa pesa mara ya kwanza jamaa akawa amepaniki kwanini na ambia watu nikampa tu ukweli. jamaa akakubali kutowa dawa kwa dollars 300$ za Canada alitowa vijiko 4 tu kwa dollars 300$ kumbe yule mzungu akaenda kuambia wenzake na wale wazeke nao wakambia wenzao sasa wote ndo wamejaa kwa huyo rafiki yangu
Jamaa naye sasa amefanya hiyo kuwa fursa amepost nyingi kutoka Afrika wazungu wengi na watu weusi wameweka order dawa ikifika tu wanapewa
Jana nilikuwa kwake kuna ambao walikuwa wanaacha dollars 1000$ ili mzigo ukifika tu wanapewa

Mpaka mimi nashangaa tu jamaa kaanza kupata pesa kama utani tu

Kwa ufupi mimi sitafuti wateja au kutepeli watu maana naona kuna watu wameanza kusema mimi nitapeli

Hii ndo shida ya watanzania anaye wapa ukweli ndo uonekana muongo na anaye wadanganya ndo uonekana mkweli
Basi changamkeni kama ndugu zetu wakenya

Ila nataka tu kuwapa ukweli kuwa kuna watu wanajua dawa hizo za ukweli na wakitumia fursa zao vizuri kutafuta wateja nje ya nchi wanawaza kupata faida
Kama huyo rafiki yangu yeye utakuta uko anachukuwa dawa hiyo kwa bei raisi ikifika uku yeye anapata faida kubwa zaidi

Na sio dawa tu vitu vingi
20220928_215631.jpg

halooo halooo sisi wazungu tunataka dawa vijiko saba
 
Ukitaka kutapeli sharti uwe smart kidogo. Canada sio Burundi au Tanzania unakoweza kupeleka uchafu wako na kuusambaza Kwa umma na mamlaka zikakukalia tu kimya.
 
Na wewe pambana kufanikiwa kupo njiani.
 
Upo sahihi...
CHAKULA CHA AINA YOYOTE AKIRUHUSIWI ULAYA,MAREKANI,CANADA
boarde control

Huruhusiwi hata nyoya la kuku
Sio kweli jmn
Binafsi kuna mtu US ali'miss majani ya chai flani ya huku ya AfriTea nikambebea na wala haikua issue

Kuna wabongo wengi tu wanabeba unga wa ugali,dagaa,chapati,vitumbua na vitu vingine adimu abroad na wanapita freshy tu

Hasa kwenye check in luggage

Btw ni *hakiruhusiwi-akiruhusiwi
 
Ndio maana hizi channel za tv huwezi kuziona kwenye ving'amuzi vya nyumbani na hata DStv zimo kwenye package ya hela nyingi: National Geographic channel, History Channel nk.
Mleta mada ungekuwa umewahi kuangalia baadhi ya makala za Geographical Channel ukaona ilivyo shughuli pevu kuingiza chakula chochote hata majani ya chai kwa nchi za wenzetu hasa Canada, USA, nk usingekuja na hadithi zako za uongo hapa!
Mimi sijawahi kuvuka hata Namanga ika kupitia tv nimejifunza mengi kuhusu wenzetu wanavyolinda nchi zao na watu wao.
Majani ya chai unapita jmn
Bila shida

I did once
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana. Zile scanner za Airport unawezaje kuingiza vitu visivyoeleweka Kwa Mzungu.
Nilishawahi kunyang'anywa dagaa Heathrow Airport terminal 4. Niliambiwa hawafai Kwa matumizi ya binadamu.
 
Hahaahaha ungewaambia chakula cha paka
 
Back
Top Bottom