PreGE2025 Jinsi 'No reforms, No Election' itakavyoiua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uzuri Vyama vya siasa vipo vingi

Wengi wape

Yaan Kasakosi kazuie uchaguzi na petisheni zao feki

Chadema walisusia chaguzi kibao na bado zikafanyika
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Mkuu waache waendelee kulala. Wakiamka watakuta CCM bado ipo Ikulu.
 
Sahau Kufa chedema Aliyeijaribu kuiua chadema kafayeye, chadema bado ikistawi
 
Ninyi hamjui tu , kipofu ( CCM) akitaka kuvuka DARAJA la magogo huwa lazima asubiri mtu amshike mkono. Haamini Ile fimbo yake . Sasa chadema msitumike kuvusha mtu . Ninyi mshiriki yajirudie Yale Yale ya Mwaka 2020. Hapa ,Ni No reform no election.
 
We mwehu huelewi maana ya wananchi, wananchi wote nchi hii wanawakilishwa na wabunge.
Sawa wewe mwenye akili. Lakini wananchi tunataka mabadiliko ya katiba ya uchaguzi isipofanyika kwa hiari itafanyika hata kwa lazima.
 
Hii inaakisi uwezo wa watu waliopo ccm, hawawezi kujenga hoja bila matusi, ujuaji mwingi ikiwa hawaelewi chochote.
Kuna kazi kubwa inatakiwa ifanyike ccm ili kuweza kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kujenga hoja na kujitetea kwa facts.
 
Uchaguzi wa Mwisho kushiriki ilikua 2015, Baada ya kukutana na Ule usanii Sijawai jisumbua tena.

Kwahyo, Hiyo kauli ni ya watanzania wengi tu
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Amini nakwambia. Mtakufa nyie na kuiacha CHADEMA ikiwa imara zaidi ya hata ilivyo sasa.
 
Kuna aliejiapiza kua ataiua CDM labla ya 2020 kufika nadhani majibu yake unayo? Hii haina kurudi nyuma bila CDM mnajua fika mtakosa uhalali wa ku validade madudu yenu
 
Kama Magufuri alifanya kila aliloweza kuiua CHADEMA sidhani itakufa tena!
 
Wewe na nani mkuu?
Tunaosema " No reforms, NO election". Ni sisi wananchi chadema ni speaker tu. Sisi tuliokupa dhamana ya kushika dola kwa muda tunataka reforms.
Sisi kama maboss tunaagiza kwa mfanyakazi wetu nataka nifanyie reforms kwenye katiba ili niingie kwenye uchaguzi ulio huru na tume huru.
Wewe ulie mfanyakazi wangu unanipinga kwa maslahi yako binafsi hujioni wewe ni tatizo hapa.
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Mkuu hapo kwenye namba tatu ni kama unatabiri kifo cha CDM .Rekebisha hapo mkuu maana wote wanaotabiri kifo cha chadema huwa wanakifa wao.
 
Jamani hiyo No Reforms no Election Watanzania hawaijui ni kitu gani elimu bado haijafika kwa Wananchi msijiangalie hapa JF Chadema inaenda kupotea kwenye raman ya siasa za Tz
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Hiv unadhani chadema wanasimama Kwa maslahi yao katika hili?
Angalia chaguzi zinavyoendeshwa, serikali za mitaa tu maeneo ambayo kulikuwa na wagonbea wa ccm tu ila bado kura zilizotangazwa hazikuwa zile zilizopigwa na wananchi.
Ndugu kama unahoji Kwa utimamu kamili kama binadamu huru ,utaona hoja za chadema zinauhalali na mashiko.
Hakuna haja ya kuwahi,nchi haizeeki Wala kufa.
No reform, no election ni mpango mzima.
 
Ninyi hamjui tu , kipofu ( CCM) akitaka kuvuka DARAJA la magogo huwa lazima asubiri mtu amshike mkono. Haamini Ile fimbo yake . Sasa chadema msitumike kuvusha mtu . Ninyi mshiriki yajirudie Yale Yale ya Mwaka 2020. Hapa ,Ni No reform no election.
Ukisusa hadhuru, mambo yanaendelea bila wasi wasi...
 
Sawa wewe mwenye akili. Lakini wananchi tunataka mabadiliko ya katiba ya uchaguzi isipofanyika kwa hiari itafanyika hata kwa lazima.
Mkuu acha kuota mchana, utaishia kujidhuru tu, ihurumie hata familia yako basi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom