PreGE2025 Jinsi 'No reforms, No Election' itakavyoiua CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,610
Reaction score
2,274
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Soma Pia:
 
Uchaguzi mkuu umekaribia ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kuchanga vyema karata zao kwa sababu kwao huu ni muda wa mavuno, muda wa kujiuza kwa wananchi kwa kutangaza sera na kisha kupata matokeo, maana Ukizubaa umeliwa. Shida ipo kwa CDM na kampeni yao ya bila mabadiliko, hakuna uchaguzi. Hii ni tamu inauzika lakini haina maana yoyote kwakuwa haitekelezeki. Ni ukweli ulio wazi hakuna wa kuzuia uchaguzi Nchi hii. Kwahiyo kuendesha kampeni kama hiyo ni kujitakia aibu na kujizika kwa makusudi kisiasa. LISSU anapaswa kujitafakari binafsi, na kichama kwa mustakbari wa CHADEMA anayoitaka. Akiwa king'ang'a haya yanaenda kumkuta... 1. Uchaguzi utafanyika na hakuna kitu atafanya. 2.Kwa kususia CDM watapoteza hata hilo jimbo 1 walilonalo na ACT ama chama kinginecho kitatwaa nafasi ya chama kikuu cha upinzani. 3.CDM kipoteza mvuto kwakuwa sio chama kikuu cha upinzani tena pia kitakosa ruzuku migogoro itaibuka na kumea mizizi 4. Lissu mambo yatamzidi unga ndipo akili zitawarudia too late... LAKINI LAITI HAILETI...
Utakufa wewe na kuiacha Chadema ikienda kushika Dola.
 
Tunaosema " No reforms, NO election". Ni sisi wananchi chadema ni speaker tu. Sisi tuliokupa dhamana ya kushika dola kwa muda tunataka reforms.
Sisi kama maboss tunaagiza kwa mfanyakazi wetu nataka nifanyie reforms kwenye katiba ili niingie kwenye uchaguzi ulio huru na tume huru.
Wewe ulie mfanyakazi wangu unanipinga kwa maslahi yako binafsi hujioni wewe ni tatizo hapa.
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Hivi vyama vinakufaga? Mbona sijaona? Haahaa chadema imekamata siasa za upinzani haitoki mdomoni
 
nikifa mimi wala sio tatizo, tatizo ni kufa chadema kwani ile ni taasisi.
sasa kama na CCM mnakubali taasisi ya CDM, fanyeni mabadiliko ya sheria kandamizi za uchaguzi ili uwe Huru na Haki, CDM na CCM zipimane sawa sawa kwenue Uchaguzi! na mtajuwa wazi kuwa chama kinachotakiwa kufa ni CCM na sio CDM!
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Hivi uchaguzi unamaanisha upi? Huu wa kujaza kura feki? Huu aliyeshinda kama ni wa upinzani hatangazwi? Huu ambaa mawakala wa upinzani wanatimuliwa nje ya vituo?
 
sasa kama na CCM mnakubali taasisi ya CDM, fanyeni mabadiliko ya sheria kandamizi za uchaguzi ili uwe Huru na Haki, CDM na CCM zipimane sawa sawa kwenue Uchaguzi! na mtajuwa wazi kuwa chama kinachotakiwa kufa ni CCM na sio CDM!
Haahaa mechi ya yanga na simba refa anatoka yanga😂😂
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Mbona kama inalia. Amka achana na ndoto za gari sio bodi gari ni injini. Ndiyo kauli mbiu yenu.

Hivi kauli mbiu ya chadema imeshika rika zote. Wanafunzi wanajibizana

No reforms No election
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Kuliko chama kuwa hai huku kikiendelea kuporwa kwenye chaguzi, ni bora kife kuliko kushiriki kwenye chaguzi za udanganyifu. Tuko tayari hivyo vyama vingine vishiriki na viwe vyama vikuu vya upinzani ama vyovyote, na sio kushiriki ili kuhalalisha uwepo wa ccm madarakani.

Ni hivi, madai ya NRNE ni madai halali, mambo ya kusema sijui ruzuku, chama kikuu cha upinzani, hayo katishieni vyama vinavyohitaji hisani ya ccm.
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Ndiyo haswa wakati wa mavuno mfukoni

It is the best season to make money out of fools, (diehards), from those who have invested to win the election at all costs
 
Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa.

Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa, lakini haina uzito wa utekelezaji kwa sababu hakuna mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nchini. Kuendesha kampeni kama hii ni kujihatarisha kisiasa na kujiweka katika nafasi ya kushindwa bila mapambano.

Lissu anapaswa kujitafakari binafsi na kichama kuhusu mustakabali wa CHADEMA anayokitaka. Ikiwa ataendelea kung'ang'ania msimamo huu, matokeo yatakuwa:
  1. Uchaguzi utafanyika bila kujali msimamo wake, na hatakuwa na uwezo wa kuuzuia.
  2. Kwa kususia, CHADEMA itapoteza hata jimbo moja walilonalo, na ACT au chama kingine kitapata fursa ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
  3. CHADEMA kitapoteza mvuto, ruzuku itakoma, migogoro itaibuka na kuota mizizi.
  4. Lissu atakapogundua makosa yake, atakuwa amechelewa kurekebisha mambo.
Lissu hana uwezo kiuongozi, hajatulia amekaa kitoto sn.
 
Tunaosema " No reforms, NO election". Ni sisi wananchi chadema ni speaker tu. Sisi tuliokupa dhamana ya kushika dola kwa muda tunataka reforms.
Sisi kama maboss tunaagiza kwa mfanyakazi wetu nataka nifanyie reforms kwenye katiba ili niingie kwenye uchaguzi ulio huru na tume huru.
Wewe ulie mfanyakazi wangu unanipinga kwa maslahi yako binafsi hujioni wewe ni tatizo hapa.
We mwehu huelewi maana ya wananchi, wananchi wote nchi hii wanawakilishwa na wabunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom