Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 365
- 751
- Thread starter
- #41
Sawa kiongozi ni mtazamo kwako pia, nimeambatanisha na excel yangu hapo juu ya hii biashara. Mm sio dereva wa pikipiki nimesema nafanya kazi yangu as a Teacher full time nipo JOB from 0800 to 1600. Sina haja ya kuweka Tangazo hapa kwenye great thinkersTarudi kuisoma vzr baadae, ila naona km ni TANGAZO la fekon hili