Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

Damn, nimemaliza hii story nikakakumbuka kale kademu kangu ka chuo ..hiyo siku nataka kuzama chumvini akanishika kichwa "baby leo acha" sijui ni nini kilimsibu na alikuwa anapenda kweli kweli, mwingine unamnyonya chuchu unahisi harufu ya mate ziwa la baridi, ***** wanachuo mtatuua

Binafsi hamna cha kujutia hapo, umeishi maisha yako na kama kila mtu angekuwa anaweka mambo yake wazi wewe unaweza kuzama peponi moja kwa moja, kama umeweza ku recall matukio yote haya, na big time ulikuwa unafanya kwa mapenzi yako not money...wengine wanaenda kununua malaya wanamkataa
 
Mdogo wangu,

Pole kwa yote yaliyotokea maisha mwako. Ilipangwa iwe hivyo ili uwe unavyotakiwa kuwa, usiumie. Kuna wengi wamepitia mara mia yako!!! Ni kwamba tu hawajashea kama ulivyoshea wewe.

Usisikilize wanaokuponda kwenye uliyopitia. Laiti kama watu wote tungeandika historia ya wanawake/wanaume tuliokuwa nao mpaka sasa ninahisi huenda ungesema afadhali yako! Watu wana story za kutisha zaidi.

Cha kuomba TU uwe na afya salama. Usisikitike wala kujidhuru kwa haya yanayokuumiza nafsi, ni suala la muda TU utasahau na maisha mengine yataendelea.

Asante kwa kushea nasi na nikutakie kila la heri kwenye maisha yako.

With love,
-Lizard-
Asanteee sanaaaa, its a part of life and namshukuru Mungu kwasasa nilipo n kwa mapenzi yake
 
Back
Top Bottom