Jinsi nilivyomtoa thamani

Jinsi nilivyomtoa thamani

Umesema uliweka NADHIRI ya moyoni mwako kuwa ukimpata kingono basi utamuoa, sasa umeshampata unadai hafai kuwa mke wako, JE NADHIRI ULIYOJIWEKEA UMEIVUNJAJE? Na HASARA ZA KUIVUNJA NI ZIPI? Hebu tufafanulie. Mwisho omba kwa BWANA ILI USAMEHEWE.
 
............................. nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.

Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI
Sioni ubaya hapa. Chukua chombo weka ndani.
 
Habari wakuu

Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.

Ana sura ya kisomali kama si kinyarwanda, ana rangi nyeupe mithili ya chotara, ana kiuno chembamba kilichobinuka kwa nyuma bila kusahau chuchu ndogo kifuani.

Naam ana mzigo wa kutosha bila kusahau hips za maana, hakika sikuchoka na ahadi za kesho kesho kama kifaranga cha kuku ila jana ndiyo nikatunukiwa mambo yetu baada ya mwaka mzima.

Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI

Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI

Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI

Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI

Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.
Unaendelea kula mzigo wakati humuitaji, kwanini unampotezea mda wake wakati unaona hakufai? ungefanyiwa wewe hivo mtu akuchune tu then akuache ungejisikiaje. Acha roho mbaya
 
Back
Top Bottom