Jinsi nilivyomtoa thamani

Jinsi nilivyomtoa thamani

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,034
Reaction score
2,250
Habari wakuu

Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.

Ana sura ya kisomali kama si kinyarwanda, ana rangi nyeupe mithili ya chotara, ana kiuno chembamba kilichobinuka kwa nyuma bila kusahau chuchu ndogo kifuani.

Naam ana mzigo wa kutosha bila kusahau hips za maana, hakika sikuchoka na ahadi za kesho kesho kama kifaranga cha kuku ila jana ndiyo nikatunukiwa mambo yetu baada ya mwaka mzima.

Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI

Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI

Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI

Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI

Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.
 
Nimepita.
 
wanaume wa siku hizi mnajua thamani ninyi?
ulitaka papuchi tu ushapewa tulia ,halafu utakuja kupata mwanamke kimeo wewe hutoamini?
mtu umemuomba k mwaka mzima leo umepewa unadai tena hakuvaa chupi? sasa mngefanya na chupi?
 
Sijui wewe pia nikutoe thamani au nisubiri subiri kwanza
 
Habari wakuu

Niliwahi kuvutiwa na binti fulani na aliingia moyoni haswa nikaweka nyadhiri kuwa nikimpata nitamuoa japo alinizungusha sana kiasi cha mwaka sijaona chini zaidi ya misimamo mikali kama Alqaeeda.

Ana sura ya kisomali kama si kinyarwanda, ana rangi nyeupe mithili ya chotara, ana kiuno chembamba kilichobinuka kwa nyuma bila kusahau chuchu ndogo kifuani.

Naam ana mzigo wa kutosha bila kusahau hips za maana, hakika sikuchoka na ahadi za kesho kesho kama kifaranga cha kuku ila jana ndiyo nikatunukiwa mambo yetu baada ya mwaka mzima.

Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI

Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI

Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI

Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI

Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango lakini nasikitika sitamuoa kama nilivyopanga awali, wanawake kuweni makini sana katika siku za mwanzo za mahusiano kwani kosa dogo huweza kuharibu yote.

Ubinafsi wa hali ya juu!!!! Go away mwache mtoto wa watu, Mkija kuokota makopo mwalalamika!
 
Mzee wa mizigo. , vipi umeachana na wamama wenye mahela yao umehamia kwa vibinti?
 
Kabla ya kufanya lolote alipokuja nilikundua ndani HAKUVAA na hapo nikamtoa THAMANI
Wakati wa mazungumzo akanigusia kuwa jamaa aliyekuwa nae mwanzo waligombana sana na yeye akaamua kumvunjia jamaa mali zote za nyumbani, nikamtoa THAMANI
Kabla hata sijakuwa nae karibu mara ghafla akatafuta duka la koni kwa fujo sana.....nikamtoa THAMANI
Kumaliza vyombo tu akaniambia nimuoe haraka kwani amechoka KUHANGAIKA mara huyu mara yule, nikamtoa THAMANI

Nakiri kuwa nitaendelea kula mzigo murua na wa viwango.
uliyemtoa thamani utamlaje mzigo murua wa viwango?..Dalili za kutojitambua hizi..
 
Bwana mdogo tunapozungumzia ndoa na mzigo wenye viwango ni mambo tofauti.
Unapozungumzia kumtoa thamani na kukupa mzigo wenye viwango kwako ni sawa?...Ni viwango ganii vinapatikana kutoka kwenye mtu uliyemtoa thamani...Huku ni kutojitambua unataka nini
 
Haishangazi kuona kuwa wanawake wengi siku hizi hawaoni umuhimu wa kuolewa ikiwa hawa ndio wanaume wanaotazamia kuoa.........

Bado hakuna wanaume wa kumfanya mwanamke ajute kwanini hajaolewa kama ilivyo zamani.....kwani kila siku anasikia habari mbaya za maisha ya ndoa kupitia kwa mashoga zake walioko kwenye ndoa.......
 
Unapozungumzia kumtoa thamani na kukupa mzigo wenye viwango kwako ni sawa?...Ni viwango ganii vinapatikana kutoka kwenye mtu uliyemtoa thamani...Huku ni kutojitambua unataka nini
Unajua lakini ni thamani ya nini kijana? tunazungumzia thamani ya kuoa na sio mambo yote.
 
Back
Top Bottom