muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,003
Awesome! Mbarikiwe...
Kuna watu wamekutana na wake zao gesti,
Yaani mmoja anatoka kugongwa na mtu mwingine anaingia na mtu kumgonga
chap chaap namba zikawa exchanged
ahahaaa hii ndo ndoa sasa wamekotana mazoeziniKuna watu wamekutana na wake zao gesti,
Yaani mmoja anatoka kugongwa na mtu mwingine anaingia na mtu kumgonga
chap chaap namba zikawa exchanged
Ha ha ha ha you must be kidding bro!daaa! very interstingi mimi wangu alinijambia kwenye basi, kwa kweli nilikasirika sana maana nilijua kuwa aliyenijambia ni yeyey maana yeye ndo alikuwa amesmama mbere ya kiti nilichokuw animelalaria kwa uso wangu uku nikiwa na usingizi, baada ya ushuzi ule tulishuka kituo kimoja nae aliniomba nimsamehee maana ane alijua kama nimejua kuwa yeye ndo aliyenijambia, kuanzia pale tukawa marafiki na hvi sasa ni mke na mme, ila ndani ya ndoa kujamba ameacha.
uscheke sana ni ni stori ya kweli, kujambiwa ni sehemu nzuri ya kujua uzuri wa mpenzi wako.Ha ha ha ha nimechekaje
[emoji3] nimependa mwanzo wenudaaa! very interstingi mimi wangu alinijambia kwenye basi, kwa kweli nilikasirika sana maana nilijua kuwa aliyenijambia ni yeyey maana yeye ndo alikuwa amesmama mbere ya kiti nilichokuw animelalaria kwa uso wangu uku nikiwa na usingizi, baada ya ushuzi ule tulishuka kituo kimoja nae aliniomba nimsamehee maana ane alijua kama nimejua kuwa yeye ndo aliyenijambia, kuanzia pale tukawa marafiki na hvi sasa ni mke na mme, ila ndani ya ndoa kujamba ameacha.
Hongera yako mr wengine kweny nyumba zao kuna fuka moshi.Si ulisoma thread ya yule jamaa. Mke wake kamtafutie mchepuko tena akahurusu ucheze na jamaaa.Mm bado nipo nipo sana, nikiona wenzangu wanavyomegewa naona km namegewa mm.
baaada ya yote shukuru matapishi kwa kukupatia mke. Mungu ajaalie muendelee na huo upendo mpaka kuja kuhadithia wajukuu zenu.Wana MMU,
Nimeona leo niwashirikishe namna nilikutana na mke wangu mpendwa.
Ilikuwa mwaka 2006 nikiwa natoka chuoni UD kwenda mwenge kununua mahitaji yangu. Nilipanda hiace na gari ilipofika survey aliingia dada ambaye sikujishughulisha kumwangalia, alikaa pembeni yangu mimi nikiwa upande wa dirishani.
Tulipofika kituo cha mlimani city (kilikuwa kinaitwa Bonjour- na sio mlimani city) huyu dada akawa anajigeuza geuza, nikageuka kumuuliza kama ana tatizo, kabla sijafungua kinywa kuuliza huyu dada alitapikia maeneo ya kifuani na matapishi kutiririka mpaka kwenye suruali. Kilichofuata ilikuwa ni mshtuko tu na hali ya hasira na kichefuchefu, aliniambia samahani, sikumjibu chochote. Niliomba kushuka na kuingia kwenye bar iliyokuwa pembeni ya kituo, sasa hivi haipo pale tena. Nikapiitiliza mpaka chooni, nimetapakaa matapishi na harufu kali. nilivua tshirt na suruali nikabaki na boxer. Nikaamua kumpigia simu jamaa niliyekuwa naishi naye ambaye pia alikuwa classmate aniletee nguo.
Baada ya jamaa yangu kufika na kubadilisha nguo nilipotoka nikamkuta huyu dada naye amekaa hapo bar ananisubiri.
Akajieleza kwamba anaumwa na alikuwa anaelekea NAKIETE mwenge kununua dawa.
Nikaamwambia haina shaka, ni bahati mbaya tu inaweza kumtokea yoyote.
Jamaa yangu akarudi chuo mimi na huyu dada tukapanda gari kuelekea Mwenge, tukafanya mahitaji yetu kisha tukapanda gari la Mwenge - Ubungo via CHuo kikuu.
Tulipofika kituo cha survey akaniomba tushuke nikapajue anapoishi, nikafika kwake na baada ya stori mbili tatu nikajua kuwa naye ni mwanafunzi wa UCLAS siku hizi kinaitwa ARDHI University (ARU).
Urafiki ukaendelea hatimaye tukawa wachumba na tulipomaliza chuo tukaona kanisani,
Tumebarikiwa watoto wawili, tunashukuru kwamba licha ya changamoto za hapa na pale bado tunaishi kwa amani na upendo.
Tukio baya na lenye kukera limenipatia mke mwema.