masterzero
Member
- Feb 11, 2015
- 36
- 37
Tarehe 29/08 nilihamisha kias flan cha pesa kutoka airtel money kwenda a/c ya NMB,hela kwenye airtel money wakazikata mda huo huo,ila kwenye a/c ya NMB haikufika,nikaona ni weekend nikaacha ilivyo,leo tarehe 31/08,nimecheki salio katika a/c zaidi ya mara 10,hakuna kilichoingia,nikauliza bank tatizo wakanijibu vizuri.
Kuwa kama wamekata katika Airtelmoney na haikuingia kwenye a/c tatizo ni la(airtel)wapigie,nikapiga customer care(airtel) wa kwanza baada ya kumfahamisha tatizo akaniambia kata simu upige tena atapokea mwingine atakusaidia mpaka mda huu nimewapigia zaidi ya 22,kila mmoja
Jibu ni: Kata simu upige tena atapokea mwingine atakusaidia........................
Ukiwauliza: Tatizo nini?!Hawana jibu la kunyooka
Airmoney ina tatizo?! Jibu haina
Rudisheni hela kama imeshindikana?!Mpigie mwenzangu atakusaidia kwa kweli niliomkusudia kumtumia matumizi ya shule kakwama na mimi nipo hali mbaya,nimeona nieleeze kilio changu hapa nini nifanye?!
Nimeona nisiwapigie tena kwa leo kilichokuwa kinafuatia ni kuwatukana na sikutaka iwe hivyo.