njujujr
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 684
- 468
Jina la amanzi ni wapogoro kwaiyo asijifanye wenhine wanamila za kishenzimila yako ni ya kabila gani tuanzie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app

Wa viwanja sitini hasaJina la amanzi ni wapogoro kwaiyo asijifanye wenhine wanamila za kishenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
VILE SIMBA ANAVYOWINDA NA KULA
Simba jike ndiye anaewinda wanyama kwa ajili ya kitoweo, simba jike huwinda kwa nguvu zote ili kuhakikisha dume na watoto wanakula,
simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume aje ALE, Jike humsubiri pembeni simba dume ale ashibe kwanza na kumbakishia mkewe,
Baadae simba jike nae husogea kula.
(wazee Wa zamani waliita kulindana, yaani mmoja anakula mwingine anakuwa anamlinda mwenzake)
Pamoja na mapenzi hayo ya Simba jike kwa dume lake, Simba dume akizeeka tu na kukosa nguvu basi hapo simba jike humutelekeza dume na kutafta Dume jingine lenye nguvu(umalaya Wa Simba).
ITIKADI ZA WANYATURU
kama ilivyo kwa simba mnyama!
simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume ale ashibe ambakishie mkewe, ndipo simba jike nae atasogea kula.
sasa basi! wanyaturu nao wakaliikopi kwenye mila yao!
Ni hivi; Mwanamke wa kinyaturu akishapika chakula kwenye nyungu/chungu, hutenga chote kizima kizima kwa wanaume ili wale kwanza wao wakiongozwa na mzee (baba mwenye nyumba)
wakati wanaume wakiwa wanakula, mwanamke anatakiwa akiwa chumbani ahakikishe anachungulia kwenye tobo maalum kumuangalie mzee!
Jukumu la mzee ni kuhakikisha anajua idadi ya wanawake wanaosubiri kula ili a balance chakula cha kuacha.
Mzee akishiba au akiona saizi ya chakula kilichobaki kitawatosha wanawake basi hunawa mikono!
Ile ishara ya mzee kunawa mikono tu humaanisha wengine anaokula nao wa- STOP, hata kama kuna wengine mkiwa bado mnakula inabidi mstop kula .
Mwanamke anaechungulia kwenye tundu maalum akisha ona mzee kanawa! huja pale na kubeba vyakula vyote na kwenda kula!
Huu utamaduni upo hadi Leo huku kijijini.
WANAUME WA DAR MSITHUBUTU KUIGA HII HAKIKA MTATILIWA SUMU
Sababu kuu ya wanaume kula kwanza ni kwamba unaweza kusikia ishara ya vita na ukatoka ukiwa umeshiba na kuingia mzigoni mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa kabisaNi kweli Simba jike ndiye mtunza familia, anawinda kwa ajili ya familia yake ile LAKINI hakai pembeni kumwacha Simba dume ale kwanza, huu si ukweli. Simba jike anawinda na kula na familia yake ila kama Simba dume liko karibu linanyang'anya chakula na kufukuza Simba wote, akishiba ndipo Mama na watoto wanakuja kula. Kama dume halipo, jike linakula bila hiyana.