Jinsi michepuko inavyompa raha mke wangu

😀😀

Isije ikawa anajua ila ikawa ule msemo wa ndege wafananao na baadae ukaja ule wa mkuki kwa nguruwe.
Hajui lolote ni michezo inachwezwa kwa akili nyingi sana
 
Hii sijui ni chai ya moto au ya baridi. Ila sijawahi kuona siwezi kubisha.

Yaani mimi nichepuke eti niwe na furaha huo ni ufuska tu. The day I set my feet out kwenda kwa mchepuko ni kwamba mume amenichosha
Ndio hapo sasa mimi kama mwanaume sikuoneshi dalili zozote za uchepukaji
 
Tumia hii hii mbinu hata uwe na viwanda uwaajiri watanzania wenzako na pia uache urithi endelevy wa Mali mpaka hata kizazi Cha kumi huko uwe ndio wewe mwanzilishi. Africans we're good/better/best when it comes to sexual affairs. Sasa maama wewe mwambie aumize kichwa agundue jambo. Haapo utasikia waachie wazungu
Ukijua kutenganisha hivi vitu ndipo mafanikio yalipo wengi wenu mnapenda kuchanganya mapenzi na kazi
 
Hongera mno zipeleke mpaka kwa wajukuu zako. Na huu Uzi uutunze ili kizazi chako kijivunie kwa kuwa na babu mwenye mbinu zake za kula mbususu. Yaani Africans Americans and Africans for love affairs and luxury and music we're so damn fakking good than any racem. Let us beat our chest and remove our shirts so that we walk kifua wazi. Isn't it? Type Basi na maujanja japo Bei ya chakula ishuke na vijana watapataje Ajira. Yaani tunabadilisha penye mbususu tunaweka maisha
Once it comes kwenye maisha kila mtu ni dereva wa maisha yake bana na kila mtu analife style lake. Siwezi kukaa ba kuwaumizia vichwa vijana walio jaa ubishi, ujuaji, hawataki kuambiwa ukweli, wenye ujanja wa kijinga...wewe unawaza umsaidie mwenzio anawaza atakupigaje usijue

Kilicho baki ni kuleta story za mbususu tu
 
Ukiwa huko mchepukoni mkeo huwa ananipa mavituzi yaani akili uliyonayo na yy ni hivyohivyo

Yaani mkeo ni mjanja sn tena kakupita akili na anakujua vizuri sema ni msiri,

Nahuo unaokutana nao baada ya kumtumia msg za minyanduano sio utelezi Bali ni bao langu huwa ananiambia ni mwagie humo ili kukukomoa ww mwanaizaya.

Hongera kwakuwa na mwanamke msiri na mjanja.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Miaka buku
 
Once it comes kwenye maisha kila mtu ni dereva wa maisha yake bana na kila mtu analife style lake. Siwezi kukaa ba kuwaumizia vichwa vijana walio jaa ubishi, ujuaji, hawataki kuambiwa ukweli, wenye ujanja wa kijinga...wewe unawaza umsaidie mwenzio anawaza atakupigaje usijue

Kilicho baki ni kuleta story za mbususu tu
Haya bana lete story za mbususu , na Ni ukweli unampa kijana kazi ajikwamue Ila anawaza yeye akupigeje. Kuna watatu niliwapa kazi.,wawili boda boda na mmoja nikampa pro Box Tena mktaba. Mwishowe walishindwa nikajua why banks hazikopeshi vyombo vya Moto ama hawatoi mktaba. Yaani inatakiwa tuige business model za banks tunayo mengi mno ya kujifunza tokea kwao. Pens za kuandikia hawaamini raia inabidi wazifunge Ila sie tunawapa hela zetu watutunzie na bado wanazikata Ila wao wakitupa za kwao na dhamana tumeweka usalama wa hela zao Ila bado Tena wanataka tuwalipe wao. So jamaa wao wanatakaje. Yaani pesa yangu nikikupatia nakulipa eti unanilindia Ila na wewe ukinipa za kwako bado nitakupa na faida.
Haya mkuu sio mbishi kwa hili.
 
Yaani mzee mm hela zangu nikishindwa kuziendesha mimi...ni bora ziendelee kukaa bank huko nikizihitaji nitazifata kuliko kujiroga ujifanye eti unaanzisha vitega uchumi ambavyo asilimia 80 ya muda wako hauta utumia hapo kwenye vitega uchumi eti kuna watu umewaachia....ndugu yangu ukija kubalance hesabu mwisho wa term utajua hujui hizo hela bora ungelipia bill ya supu mwaka mzima
 
Bili ya supu ya mwaka mzima kazi iwe Ni kufurahisha moyo wako ili uendelee kuona faida ya pesa
 
Bro siku nyingine usipende kushare maujanja na vichwa panzi Kama Hawa, huwa wanatafuta vijisababu vya kuficha ujinga wao. Sisi watoto wa kimaskini inapaswa tupambane kuwazidi kina dewji,rostam.
 
ujanja kumbe ni kupambana uwazidi watu na sio kupambana kwa ajiri ya maisha yako.

Kama hauna uwezo wa kufanya vitu vidogo vikubwa utawezaje....na akili kubwa ni akili kubwa
 
Back
Top Bottom