Jinsi Michael Jackson alivyoilipua sony music

Cha kwanza... Akili yako ni ndogo sana kuweza kuelewa huu uzi.

Cha pili.... unajifanya mjuaji wakati huelewi chochote... akili ndogo sana kuendelea kutoa comment ukidhani unajua kumbe zero brain..

Cha tatu... source yangu ni maneno ya Mj mwenyewe ... kwa muda wako katafute speech yake kuhusu Sony akiielezea dunia ...

Cha nne.....Mj alikuwa akimiliki 50% ya Sony na issue sio kusaini mkataba kama wewe na upumbavu wako ulivyokurupuka hapa)

Issue ni misrepresentations kwenye mkataba wake na Sony iliyofanywa na attorney wake akishirikiana na Sony Music...

Cha tano... ukitaka ujue undani wa kifo cha MJ source ziko wazi kabisa zinaonyesha Uzembe uliofanya na D.k Conrad Murray mpaka akahukumiwa ...

Nenda kasome ushahidi uliotolewa na polisi ambapo ulichangia kumfunga Dk Murray utajua kabisa kuna watu walikuwa behind kifo chake...

Japo kichwa chako ni kigumu kama nazi utakuwa umeelewa kidogo... next time upunguze ujuaji

Idiot! Umeandika upuuzi mtupu, kuna kitu chochote chenye akili ulichoandika hapa zaidi ya kukusanya upupu kwenye website za udaku, umepanic dogo, kweny biashara dont expect fair treatment utakuwa unalia lia mtandaoni ni either unyonye au unyonywe ndio ubeberu huo
 
Mpumbavu wahed....[https://youtu.be/Mx0Un9K5dKQ/URL] Angalia hii video umsikilize MJ mwenyewe wewe pimbi
 
Idiot! Umeandika upuuzi mtupu, kuna kitu chochote chenye akili ulichoandika hapa zaidi ya kukusanya upupu kwenye website za udaku, umepanic dogo, kweny biashara dont expect fair treatment utakuwa unalia lia mtandaoni ni either unyonye au unyonywe ndio ubeberu huo

Wakati unaangalia video ya MJ akisema kuhusu Sony siku nyingine uwe unatumia vizuri bando unalonunuliwa na shemeji yako.... pumbaaaaaavu unafikiri kila mtu anasoma udaku kama wewe
 
Unyonyaji upo lakini kama hujitambui na huelewi. Wengi ukimbilia kusaini mikataba bila kuilewa vizuri na hivyo kujikuta wamenasa katika mtego.
Huwezi kusikia wasanii wa Latin America, South America na Europe wameibiwa, wanajielewa kibiashara.
Utalia sana endapo utauza brand yako kwa Record Label, hivi leo tunaona baadhi ya wasanii wanashikiliwa kuanzia jina, platforms zote, albums and song releases na shows yaani anakuwa mfanyakazi chini ya mtu/kampuni fulani. Refer: Rich Mavoko hadi platforms zake zilikuwa chini ya kampuni, alivyojitoa ikambidi aanze upya.

Wasanii soma na muelewe mikataba yenu vizuri.
 
Kuna mahali niliwahi kusikia, kuna watu waovu ambao huharibu wasanii kwa njia ya madawa ya kulevya, tazama baadhi ya wasanii hapa waliokuwa kweny peak na namnna walivyopotezwa kwa matumizi ya madawa, biashara ya mziki kwa hapa nyumbani ipo hivyo.
sana...

Yapo mengi tu sema wasanii wanaomujua huo mchezo ni wachache mno ..kama Diamond's...
Angalia msanii akianza kuja na speed tu ..kuna wanao mdaka na kumweka karibu nao... ataenda ila hafiki mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unyonyaji upo lakini kama hujitambui na huelewi. Wengi ukimbilia kusaini mikataba bila kuilewa vizuri na hivyo kujikuta wamenasa katika mtego.
Huwezi kusikia wasanii wa Latin America, South America na Europe wameibiwa, wanajielewa kibiashara.
Utalia sana endapo utauza brand yako kwa Record Label, hivi leo tunaona baadhi ya wasanii wanashikiliwa kuanzia jina, platforms zote, albums and song releases na shows yaani anakuwa mfanyakazi chini ya mtu/kampuni fulani. Refer: Rich Mavoko hadi platforms zake zilikuwa chini ya kampuni, alivyojitoa ikambidi aanze upya.

Wasanii soma na muelewe mikataba yenu vizuri.

Very true mkuu...
 
Cha kwanza... Akili yako ni ndogo sana kuweza kuelewa huu uzi.

Cha pili.... unajifanya mjuaji wakati huelewi chochote... akili ndogo sana kuendelea kutoa comment ukidhani unajua kumbe zero brain..

Cha tatu... source yangu ni maneno ya Mj mwenyewe ... kwa muda wako katafute speech yake kuhusu Sony akiielezea dunia ...

Cha nne.....Mj alikuwa akimiliki 50% ya Sony na issue sio kusaini mkataba kama wewe na upumbavu wako ulivyokurupuka hapa)

Issue ni misrepresentations kwenye mkataba wake na Sony iliyofanywa na attorney wake akishirikiana na Sony Music...

Cha tano... ukitaka ujue undani wa kifo cha MJ source ziko wazi kabisa zinaonyesha Uzembe uliofanya na D.k Conrad Murray mpaka akahukumiwa ...

Nenda kasome ushahidi uliotolewa na polisi ambapo ulichangia kumfunga Dk Murray utajua kabisa kuna watu walikuwa behind kifo chake...

Japo kichwa chako ni kigumu kama nazi utakuwa umeelewa kidogo... next time upunguze ujuaji
Hapana hapo MJ hajawahi kumiliki Sony Music kampuni ya MJ ilikua chini ya Sony Music ilikua inaitwa Sony Publishing/ATV
 
Mj alikuwa ana own 50% na iliyobaki ilikuwa inaimilikiwa na Sony wenyewe.... pitia hyo speech niliyoweka hapo juu umsikie mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi umeandika...kwanini?hao ndio waliomfanya huyo MJ kuwa milionea na kupata kiburi alichokuwa nacho

Kuinua vipaji vingine siyo kosa, kila jambo lina wakati wake, muda ukipita umepita braza hatuwezi kukaa kusubiria mpaka MJ afe ndio vipaji viibuliwe tukiogopa kuwa mj kipaji chake kinakufa

Evidence ya kwamba hawa ndio walioratibu kesi za MJ ziko wapi?

Sony nao ni wafanyabiashara lengo lao siyo kutoa msaada msanii anufaike bali wote wanufaike...watu wamewekeza na wanakula hasara vile vile faida inapokuja as long as uli sign mkataba hutakiwi kulalamika

Fungua kampuni yako wewe uwe fair tuone itakupeka wapi
nina Uhakika Hujamuelewa Jamaa.
 
Kuna mahali niliwahi kusikia, kuna watu waovu ambao huharibu wasanii kwa njia ya madawa ya kulevya, tazama baadhi ya wasanii hapa waliokuwa kweny peak na namnna walivyopotezwa kwa matumizi ya madawa, biashara ya mziki kwa hapa nyumbani ipo hivyo.
Kama Class
 
Album ya drake ilikuwepo ililuwepo kwenye Category Mkuu...Labda useme mengine
 
https://1fhjm3b.oloadcdn.net/dl/l/v...on.searching.for.neverland.2017.mp4?mime=true
Michael Jackson search for Neverland
Link inaexpire baada ya 24hrs....Ukiita Tena au HD Zaidi pitia hapa
Download movie na Season buree
Download Seasons&Movies SD&HD Quality In Your Android Phone For Free
[emoji956][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji390]
https://t.co/JDzeaDLSXu
HafkgZDS1CpyzlWFF94grPseR3-BePBDoluyEZmMhouPlDxRhA-P7umC3BYejfsaf1eMcDDMFfa2e4WNm9GfeILp00SW7...jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom