jinsi Mexico na North Korea waliidindishia Marekani .

jinsi Mexico na North Korea waliidindishia Marekani .

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,012
Mexico: wamexico wanalima sana maparrachichi na kuyauza marekani. Marekani nao wanauza sana nafaka Mexico. pia Calfornia kunalimwa maparachichi. wamarekani ili kulinda wakulima wake wakapiga stop uagizaji wa parachichi kutoka Mexico. waliwaambia parachichi za mexico zitaleta fruit flies kwa wakulima wa Marekani. WWamexico wakawaambia sisi tunauza parachichi North East ambako hakulimwi parachichi na kuna baridi wadudu hawawezi kusurvive, wamarekani wakakaza.

wamexico wakasema kumbe ndivyo mlivyoo!, wakazuia uagizaji wa nafaka toka Marekani. wakulima wa nafaka wa US wakaanza kula hasara. Kuona hivyo US ikabidi waruhusu uagizaji wwa parachichi za Mexico na wamexico wakaruhusu nafaka ziingie.

NK: baada ya korean war NK ikawa inataka kujijenga. Nchi yeyote inahitaji chuma ili kujijenga (kasoro Tz). basi wakaiomba Japan iwauzie kinu cha kufulia chuma na ikakubali. US kusikia hivyo akamwambia mjepu asimuuzie NK kinu. baada ya kukataliwa kiongozii wa wakorea akawaambia wahandisi wake inabidi watengeneze kinu kwa ujuzi wao wenyewe. ndani ya muda mfupi jamaa wakawa wanazalisha chuma kwa teknolojia yao wenyewe.
 
Kuna rafiki yangu mBrazil alitusimulia US walianza kuwawekea ngumu visa...eti ukitaka visa ya Us mpaka uongee kingereza...
Brazil ikasema poa...na wao wakaweka masharti kuwa kama unataka visa ya Brazil lazima uongee Kireno...nasikia wamarekani wakadhani Brazil anatania...kumbe yuko serious ...sijajua kama waliishia wapi...maana tulikuwa tunatia story tukaishia kucheka sana bila kuuliza conclusion....
 
Kuna rafiki yangu mBrazil alitusimulia US walianza kuwawekea ngumu visa...eti ukitaka visa ya Us mpaka uongee kingereza...
Brazil ikasema poa...na wao wakaweka masharti kuwa kama unataka visa ya Brazil lazima uongee Kireno...nasikia wamarekani wakadhani Brazil anatania...kumbe yuko shttps://www.jamiiforums.com/international-forum/779965-jinsi-mexico-na-north-korea-waliidindishia-marekani.htmlerious ...sijajua kama waliishia wapi...maana tulikuwa tunatia story tukaishia kucheka sana bila kuuliza conclusion....
a cornered mouse can bite a cat.
 
Kama mkiamua kuwakazia hawa wazungu wazushi,kila kitu kinawezekana.
Viva Russia
 
Back
Top Bottom