Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 427
- 1,668
Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently!
Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya na historia itakushangaa ila watakaoumbuka zaidi ni DPP na ofisi yake! Kweli kabsia mmeamua kuchafua CV zenu na huu utumbo?
Mtatushawishi vipi kuwa mna uwezo wa kusimamia haki?
Eniwei angalieni memes mcheke 🤣🤣
Kwa kifupi
#FreeTunduLissu IMMEDIATELY!
#NoReformsNoElection