Jinsi mapenzi yanavopumbaza mtu

hahahaha hayo sio mapenzi..
hako ka bwana kake huenda kalisoma RUCCO kana chuki na UDSM
FACT: Degree moja ya SAUT ni sawa na course outline ya semester moja UDSM
inamaana kama unasoma kozi ya miaka mitatu basi una degree SITA za SAUT
kama minne basi unazo NANE za SAUT.
hahaha natania
 
Hahahhaaa huyu jamaa alikua anatania
What degree ya SAUT ulinganishe na UDSM
Watu waki disco UDSM wanakimbilia SAUT, Kampala ya gongo la mboto [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhaaa huyu jamaa alikua anatania
What degree ya SAUT ulinganishe na UDSM
Watu waki disco UDSM wanakimbilia SAUT, Kampala ya gongo la mboto [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahaha kweli mkuu watu wanagawiwa GPA kama njugu huko
 
Huyo jamaa atakuwa na chuki na UDSM yaani mpaka demu kapostiwa ujue huyo jamaa maandazi kwelikweli atakuwa kasoma vile vyuo vya uchochoroni.
 
dharau hizo, ila mwisho wa cku mshahara n ule ule
 
 
Mama looks like the type to give brains to pass, no? And where's the beauty? My fault, just playing.

Congratulations to her and her's.
 

Hahahahahha....kaka umeua hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…