jinsi maisha yalivyo ya ajabu

jinsi maisha yalivyo ya ajabu

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
1. Daktari anakuombea uumwe.
2. Wakili anakuombea upate
kesi.
3. Mtengeneza majeneza
anakuombea ufe.
4. Polisi anakuombea uwe
mhalifu.
Cha kustaajabisha Mwizi ndo
anakuombea ufanikiwe
 
Hahaaaa kweli bora wezi waendelee kutuombea 2we na bastola akija nimlime shaba
 
Back
Top Bottom