Jinsi maisha ya wadada yanavyokuwa

Angalia hiyo namba aliyokupa inaweza kuwa ni ya Kwenye cave complex za Tora Bora, Afghanistan huko! [emoji1][emoji1][emoji1]... Nadhani namba za huko alikosema, USA zina 10 digits excluding the Country Code! [emoji1]
Si unaona kabadili mtandao na namba hapohapo kahamia mtandao anaoupenda yeye
 
Japo umegeneralize kuna yadi ukweli kwa mbali ndani yake.

Lakini utambue hawa wanawake wako wengi sana kuliko wanaume,hata tuoe wanne km marehem muhamad au 700 km suleiman wapo wanawake watabaki na kufa bila kuolewa.Sio lazim wote waolewe wengine hicho unacholalamika ndicho walichopangiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nawaona galz si wanaume hatuna shida suala la kuoa naamua tu [emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu unakunywa nini nakuja kulipa bili sasa hivi
Mlimani city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…