Jinsi maisha ya wadada yanavyokuwa

kudanga kumetamalaki,binti anakuja stuka yupo 35+ na hapa ndo anatafutwaga yoyote yule angalau hata amtutunuku mtoto
Ni kweli kaka. Tabia ya kudanga imetamalaki. Mdada ukimuona kwa nje aaheshima zake. Unasema labda huyu atakuwa wa tofauti.. wiki ya kwanza.. akishakuzoea anadanga kama wale wa barabarani.
Sasa unajiuliza wana shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo hayana chama mkuu watayakumbuka maneno yako wakati ukifika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…