Jinsi maisha ya wadada wengine yanavyokuwa

Unateseka kitu gani sasa.

Pambana jinsi ya kujikinga na Covid 19, mambo ya wasichana sijui wanawake yatakushinda.
 
MTANISAMEHE MAANA UKWELI UNAUMA ILA NAOMBA SOMA TU ITAKUSAIDIA:

Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.

Kuanzia miaka 18 hadi 24
Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.

Anabadilisha badilisha wanaume NA kuwasaliti wengine, hawana pesa, hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.

Kuanzia miaka 25 hadi 30
Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa anakuwa bar made wa kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi.
Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote
Wanajitokeza tu waume wa WATU wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.

Kuanzia miaka 30 hadi 35
Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane.

Bahati mbaya hata mlevi hajitokezi
Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.

Kuanzia miaka 35 hadi 40 hapo anahangaika hata mwanaume anayemtaka kuwa mchepuko hakuna analea watoto kwa shida na kodi ya chumba hamna ndo maisha tayari anasubiri afe.

SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?

JIBU NI HAPANA
HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARA

NA WEWE MDADA UNAYESOMA HAPA KAMA NAKUONA VILE

Fanyeni jambo hili wadada "acheni dharau, kujiona wazuri, malaika wa hapa duniani" kama wewe bado hujapata mme anza leo kuomba Mungu atakusaidia mapema zaidi, bado hujachelewa.

Usifikirie kujiuza, sawa utapata pesa tena nyingi kwa kutanulia kila jitu linalofika bei yako ya hapo chini lakini mwisho wa siku tarajia haya;

Ukimwi, cancer ya shingo ya kizazi, Kuharibu kizazi na usizae tena, Magonjwa ya zinaa hatari na yasiyosikia dawa yanabaki ndani ya mwili wako, maumivu ya tumbo mnajifanya kuita Mchango, kudharaulika kupita maelezo.

Mwisho kabisa ni kupata dhambi ya milele.

Hii ndiyo weekly vibe!

Kama tabia hizi zote au baadhi unazo, acha mara moja, maana mwisho wake ni majuto. View attachment 1439021
Huu ni ukweli mtupu. Walinisumbua sana wakati huo mpka sasa nilishaoa na nawafumua wote. Wenhine ananibembeleza niwe nao hata kama ni michepuko. Na wengine wenye mshipa wa aibu wananiambia kwanini nashindwa kuoa hata wakawa wake wa pili na uwezo ninao. Nimewaambia mimi ni mkristi mwiko kuoa mke zaidi ya mmoja nawafumua hivyo hivyo tu. Yaani mimi nimerudi kwenye umri wao ule wa 18-24 nimepanda chati balaa na kitambo changu wala hawakioni.

Na wanajua nina familia na watoto wala hawajali. Wanawake sijui nani aliwaloga.
 
Utakuwa unakutana na wale watafutaji pesa na wewe ndio mradi wao 😂😂.

Maana hao wakiwa kazini huwa hawajali sura, rangi, umbo , kitambi wala status wanaangalia pochi tu.

Ushauri ; endelea kutafuta pesa ili uendelee kuwafumua tu mpaka uone mwisho wake mkuu😎
 
Na akishazalishwa bila ndoa ndo baibai kuolewa
Alaf sijui kwann skuiz unakuta bint hajafika hata miaka 20 tayar anamtt
Sent using Gun Trigger
 
MTANISAMEHE MAANA UKWELI UNAUMA ILA NAOMBA SOMA TU ITAKUSAIDIA:

Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.

Kuanzia miaka 18 hadi 24
Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.

Anabadilisha badilisha wanaume NA kuwasaliti wengine, hawana pesa, hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.

Kuanzia miaka 25 hadi 30
Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa anakuwa bar made wa kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi.
Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote
Wanajitokeza tu waume wa WATU wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.

Kuanzia miaka 30 hadi 35
Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane.

Bahati mbaya hata mlevi hajitokezi
Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.

Kuanzia miaka 35 hadi 40 hapo anahangaika hata mwanaume anayemtaka kuwa mchepuko hakuna analea watoto kwa shida na kodi ya chumba hamna ndo maisha tayari anasubiri afe.

SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?

JIBU NI HAPANA
HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARA

NA WEWE MDADA UNAYESOMA HAPA KAMA NAKUONA VILE

Fanyeni jambo hili wadada "acheni dharau, kujiona wazuri, malaika wa hapa duniani" kama wewe bado hujapata mme anza leo kuomba Mungu atakusaidia mapema zaidi, bado hujachelewa.

Usifikirie kujiuza, sawa utapata pesa tena nyingi kwa kutanulia kila jitu linalofika bei yako ya hapo chini lakini mwisho wa siku tarajia haya;

Ukimwi, cancer ya shingo ya kizazi, Kuharibu kizazi na usizae tena, Magonjwa ya zinaa hatari na yasiyosikia dawa yanabaki ndani ya mwili wako, maumivu ya tumbo mnajifanya kuita Mchango, kudharaulika kupita maelezo.

Mwisho kabisa ni kupata dhambi ya milele.

Hii ndiyo weekly vibe!

Kama tabia hizi zote au baadhi unazo, acha mara moja, maana mwisho wake ni majuto. View attachment 1439021
Povu ruksa!!
 
18-24 uyu alikua anasoma , kamaliza degree yake .

25--30 .. Ametafuta kazi weee amepata ,sasa wanaume wanamkimbilia, nahatimaye kapata Mchumba au kuolewa kabisa.

30+ ananfamilia yake, au alishimdwana Tabia na Mumewe Ila sababu alikua keshazaa, basi kaamua kulea mwana/wanawe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SLAY QUEEN[emoji41]
tapatalk_1588498980944.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe mshauri wa maisha. Tumia nguvu hiyo kuboresha maisha yako . Jukumu la maisha yake Mtu ni lake binafsi. Usitoe ushauri kama hujaombwa ushauri . Alitakalo Mtu atalipata. Uchaguzi ni wako, kumcha Mungu au Ibilisi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom