Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Mzee wa kimasihara na huku upo?
 
Rick boy ujue wew ni legend mzee....usije ukatuambia ulikopa Benki Fulani kimasihara hv karbun
ila ule uzi wko ni nyoko aisee unatamba hd leo
Mikopo noma mzee... kimasiharaa tu unafilisiwaa.. Uzi utadumu mpaka jf ikifaaa
 
Kuna watu wanavutaa bhangi sijuii
yani mimi nina shida nianze kukupa hel ili uje unikopesheee..
Mi nilishangaa maana walikuwa wanasema hawana riba nikamuuliza muhusika sasa mnajiendeshaje
Ndio akaniambia wanachukua pesa wanakaa nayo miezi 6 ndio mtu sasa anaanza kukopa nikabaki heeeeeeeeeee 😄
 
Wewe fara sana usiwadharau walim
 
Aisee embu acha hizo fikra zako potofu juu ya walimu kwasababu wakopaji bank ni watumishi wote na sio walimu tu. Mtumishi yeyote anaweza akachukua mkopo mdogo na akasema akatwe miaka mingi. Kila mtu ana uamuzi juu ya muda wa kukatwa kwahiyo acha hizo kashfa zako juu ya walimu. Walimu hawajakufunza ili uje kuwa adui yao na kuwasingizia mabaya kila mara. Asiyeheshimu walimu hana akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…