Changamoto ni kwamba, wanafunzi wanaswagwa kama kondoo bila kuangalia uwezo au vipaji. Wanaenda hivo hivo hadi kidato cha tatu ambapo mdo wanaambiwa wachague science, arts au biashara. Wakifika hapa wengi hawachagui kitu wanachopenda, wanachagua majina, daktari, injinia n.k. by the time mwanafunzi huyu anagraduate form 6 hajui hata anachotaka kuwa, na hapo mzaz anamlazimisha asome kitu ambacho anahisi kina fursa kwa mfano afya.
So tunapoteza watu wenye uwezo kuanzia level ya chini kabisa. Utamkuta mwanafunzi ambaye angekua mwanasiasa mziri mwenye weledi ameishia kua nutritionist. Anaishia kufanya kazi asiyoipenda ili tu apate mkate wa kila siku.
The system.is rigged tangu huku chini. Tunavosoma havitusaidii lakini vinatusababisha tuwe watu wanaokariri vizur.
Tutachelewa sana kufika