Sisi zali linakuangukia tu tena wale failures ndio wanaongoza.Nilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora.
Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa huwa wakimaliza shule wanapangiwa kazi, hawahitaji kutafuta kazi. Mfano Putin alikua mwanafunzi wa A. Kwao ni lazima ujifunze lugha moja ya Ulaya katika masomo yako. Yeye alijinfunza Kijerumani na Alipata A katika mtihani wake.
Kazi ya kwanza aliwekwa Wizara ya mambo ya nje kama ofisa wa kuwasaidia wana diplomasia wageni. Ukweli wa kazi yenyewe ilikua kuwachunguza wanadiplomasia hasa wageni mienendo na malengo yao wakiwa Urusi.
Wakati wa vita baridi alihamishiwa Ujerumani Mashariki kama mkalimani wa ubalozi wa Urusi. Kazi yake hasa ilikua kulinda siri za Urusi zisiingie Ujerumani Magharibi na pia kuichunguza Ujerumani Magharibi.
Haya pia yaliyo kwa kwakina Yeltsin, ingawa alikua Mhandisi lakini alishaandaliwa kushika madaraka makubwa. Ingawa mambo sasa hivi yamebadilika Olga wana ushawishi wa pesa katika serikali ya Urusi na Putin pia ameweka watu wa kulinda interest zake.
mpango umefia kwa mkapa! ulikuwepo tokea enzi za mwalimu alicopy hukoNilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora.
Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa huwa wakimaliza shule wanapangiwa kazi, hawahitaji kutafuta kazi. Mfano Putin alikua mwanafunzi wa A. Kwao ni lazima ujifunze lugha moja ya Ulaya katika masomo yako. Yeye alijinfunza Kijerumani na Alipata A katika mtihani wake.
Kazi ya kwanza aliwekwa Wizara ya mambo ya nje kama ofisa wa kuwasaidia wana diplomasia wageni. Ukweli wa kazi yenyewe ilikua kuwachunguza wanadiplomasia hasa wageni mienendo na malengo yao wakiwa Urusi.
Wakati wa vita baridi alihamishiwa Ujerumani Mashariki kama mkalimani wa ubalozi wa Urusi. Kazi yake hasa ilikua kulinda siri za Urusi zisiingie Ujerumani Magharibi na pia kuichunguza Ujerumani Magharibi.
Haya pia yaliyo kwa kwakina Yeltsin, ingawa alikua Mhandisi lakini alishaandaliwa kushika madaraka makubwa. Ingawa mambo sasa hivi yamebadilika Olga wana ushawishi wa pesa katika serikali ya Urusi na Putin pia ameweka watu wa kulinda interest zake.
Kabisa tupo tupo tu ili mrafi liende.Msure wako akiwa kwenye system utakua kiongozi hata kama wewe ni average C
Matatizo ya Waafrika inasemekana bado hatujaondokana na athari za utumwa na ukoloni. Wengi tuna umimi ule ambao babu zetu waliutumia kuuza watu wao kwakina Tip Tip ili wapate faida.mpango umefia kwa mkapa! ulikuwepo tokea enzi za mwalimu alicopy huko
Akumbuke mkapa na mageuzi ya TISSmpango umefia kwa mkapa! ulikuwepo tokea enzi za mwalimu alicopy huko
Hakuna jambo ambalo linanikera kwenye hii nchi kama hili la baadhi ya nafasi/ vitengo nyeti kuongozwa na watu wenye uwezo mdogo!Sisi zali linakuangukia tu tena wale failures ndio wanaongoza.
Watoto wanaopata A ni wa seminary na Feza, huku kwingine mfumo wa elimu unahitaji ukarabati wa hali ya juu. Pesa za kuajiri walimu wa kutosha hasa shule za vijijini zinahitaji kupewa kipaumbele.unapaswa kwanza ujenge mazingira ili hizo A ziwe halisi na kureflect yaliyokichwani mwa mtu.
Pia uhakikishe watu wote wanatoka mazingira ambayo hayatawakwamisha.
sasa mtu anapata A kwa kusoma kilimo cha ndizi Jamaica na ngano Canada...na historia ya Somalia...kutoka mwembetogwa primary kule Kigoma..
nazani huu ukarabati una takiwa kwa shule za serikali tu, na shule binafsi wao hawa husiki...Watoto wanaopata A ni wa seminary na Feza, huku kwingine mfumo wa elimu unahitaji ukarabati wa hali ya juu. Pesa za kuajiri walimu wa kutosha hasa shule za vijijini zinahitaji kupewa kipaumbele.
Churchill hakua vizuri kwenye taaluma lakini alikua mwanasiasa mzuri, hata hivyo uwezo wa darasani unasaidia Rais kufanya research na analysis kablawya kutoa maamuzi.Ila Kuna guarantee yoyote ya ukifanya vizuri shule utakuwa kiongozi mzuri.... nadhani hili linahitaji mjadala pia.
Maana hata shuleni tunaongozwa na C students. A students wengi wao mazezeta tu.
Toa na mifano tafadhali, usitaje mtu.. Taja taasisi au kitengo husikaHakuna jambo ambalo linanikera kwenye hii nchi kama hili la baadhi ya nafasi/ vitengo nyeti kuongozwa na watu wenye uwezo mdogo!
Kisa tu eti ni mtoto wa mkubwa/ anafungamana na wakubwa.
Upewe tuzo ya nobel. Tena naongeza wanaandaa hadi mahawara na kuwapa ubunge wa viti maalum.Hapa kwetu Nyerere alijaribu nae kuandaa viongozi. Baadhi Yao ni Yusuph Makamba, Moses Nauye, Uliwaona Ditto na Jakaya.
Aliwapeleka jeshini na aliwatoa kwenye makabila ambayo hayana ushawishi mkubwa.
Cha ajabu wote walioandaliwa na Nyerere walipofika kwenye uongozi wao walianza kuwaandaa watoto wao binafsi. Sasa tusubiri hao watoto wakiingia kwenye uongozi watawaandaa kina Nani?
Huku hata ukipata zero form six baba mkwe akiwa mwenyechama nawe unakuwa mwenyekiti wa kudumu.Msure wako akiwa kwenye system utakua kiongozi hata kama wewe ni average C
Churchill hakua vizuri kwenye taaluma lakini alikua mwanasiasa mzuri, hata hivyo uwezo wa darasani unasaidia Rais kufanya research na analysis kablawya kutoa maamuzi.