nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Bwana mkubwa hiyo ni sheria ya kawaida( principle regislation) ambayo inapata uhalali wake kutoka kwenye katiba( mother law).
Acha kujaza servers za JF kwa kupaste katiba humu bila hata kutetea uamuzi wa serikali yako kuipinga hiyo katibaHapa ni elimu tu. Ili mkipata mkong'oto msisingizie katiba kuvunjwa.
Majibu ya kilisu lisu.Acha kujaza servers za JF kwa kupaste katiba humu bila hata kutetea uamuzi wa serikali yako kuipinga hiyo katiba
Unachopigania Wewe ni nn?Bro, claw back clause ndo kama hizo alizokutajia mleta Mada, mfano Article 30, hiyo ni claw back clause, ambayo imeweka limitations on the enjoyment of the rights provided under part 3, mbona Lissu hawambii hili, anawaambia tu mna haki, hawaambii kama mnawajibu pia!
cha kusoma kamstari kamoja tu kwa ajiri ya kujifurahisha. Soma kipengere chote hapa:-"Miongoni mwa mamlaka ya rais akiwa amiri jeshi mkuu ni kuyaamuru majeshi ya nchi yatende mambo yanayohusika na vita vya ulinzi wa jamhuri ya muungano"
Ndugu una ugomvi na tafsiri ya maandiko! Kwa mfano anapopiga marufuku mikutano ya kisiasa je ni moja ya mamlaka yake kwa mujibu wa kifungu hiki?!
ndugu umekosea kusema hakuna sehemu kwenye katiba inayosema kuandamana, hiyo sehemu ipo we nenda kwenye sura ya pili vyama siasa utaona wamezungumzia hadi mikutano ya hadharaSoma katiba wewe hakuna sehemu katiba imesema kama hakuna haki uandamane.
A
cha kusoma kamstari kamoja tu kwa ajiri ya kujifurahisha. Soma kipengere chote hapa:-
148.-(1) Bila ya kuathiri masharti yatakayowekwa na sheria
yoyote iliyotungwa na Bunge, miongoni mwa madaraka ya Rais
akiwa kama Amiri Jeshi Mkuu ni kuyaamuru majeshi ya nchi
yatende mambo yanayohusika na vita vya ulinzi wa Jamhuri ya
Muungano, mambo ya kuokoa maisha na mali ya watu katika
hali ya hatari na mambo mengineyo ambayo Amiri Jeshi Mkuu
ataona yahitajika, na kwa ajili hiyo Amiri Jeshi Mkuu aweza
kuyaamuru hayo majeshi yatende mambo hayo ama ndani au
nje ya Tanzania.
Leta Kifungu chako ambacho si mara ya kwanza kukisomaMimi naona mtoa post ndo mara yake ya kwanza kuisoma katiba kwa hy alipoona hapo tena bila kujua tafsiri ya kisheria akakimbilia Jf. Soma tena alafu urudi humu
Katiba imeruhusu vyama vya siasa kuandamana na kufanya mikutano...hayo maandamano na mikutano inatakiwa iwe inahusu niniSoma katiba wewe hakuna sehemu katiba imesema kama hakuna haki uandamane.
Huyu Annael ni UVCCM mwenye kiwango cha chini cha uelewa lakini ila mwenye kiwango cha juu cha ushabiki na aliyejaa propaganda mfu. Usihangaike naye, atakupotezea malengo yako bureendugu umekosea kusema hakuna sehemu kwenye katiba inayosema kuandamana, hiyo sehemu ipo we nenda kwenye sura ya pili vyama siasa utaona wamezungumzia hadi mikutano ya hadhara
Hapa tunaongelea katiba wewe unasema Sheria ya vyama vya siasa. Katiba ndio sheria mama. Sheria mama inasema kama hujaridhika nenda mahakama kuu.ndugu umekosea kusema hakuna sehemu kwenye katiba inayosema kuandamana, hiyo sehemu ipo we nenda kwenye sura ya pili vyama siasa utaona wamezungumzia hadi mikutano ya hadhara
Bali imesema uandamane kwa ajili ya nini?Soma katiba wewe hakuna sehemu katiba imesema kama hakuna haki uandamane.
Kataharuki huyo! Hakutegemea kama ungemteremshia vipengere akakosa hojaMbona wewe upo hapa?
kessi ya tumbili unampelekea ngedele, unadhani nini matokeo yake? hata hivyo tusome kipengele cha vyama vya siasa tu ambavyo ndo vimetufikisha kwenye mivutanoHapa tunaongelea katiba wewe unasema Sheria ya vyama vya siasa. Katiba ndio sheria mama. Sheria mama inasema kama hujaridhika nenda mahakama kuu.
Na tayari mahakama kuu imetolewa ufafanuzi kupitia sheria za police. Kwamba:-
Kwenye sheria ya police kifungu 43 kuhusu maandamano
(6) Mtu yeyote ambaye hajaridhika na masharti ya amri ya
kusimamisha iliyotolewa chini ya kifungu kidogo cha (3) au, amri yoyote iliyotolewa na afisa polisi chini ya kifungu kidogo cha (4), anaweza kukata rufaa kwa Waziri ambaye maamuzi yake yatakuwa ya mwisho.
Kwamba mnatakiwa kwenda kuwashitaki police kwa waziri wa Mambo ya Ndani(Mwigulu Nchemba) huenda akawaruhusu muandamane