Jinsi Joseph Kabila alivyopiga chenga ya mwili, akili za wapinzani na mataifa ya Nje!

Kawapiga chenga tamu sana kwakweli
Kwa hiyo Felix ni mfuasi wa Kabila? Felix huyuhuyu ambaye amenyanyasika chini ya tawala zote za Kongo tangu akiwa mwanafunzi chini ya utawala wa KUKU? Huyu huyu aliyesomea uhamishoni kama mkimbizi na kulazimika kuwa mcheza korokoro Ubelgiji? Au Ubelgiji ni mtaa huko Mbujimayi? Ni Felix ambaye hata maiti ya baba yake ilikuwa inawayawaya kwenye Mortuary za Ulaya Leo amekuwa mtu wa Kabila? Huyo Kabila atakuwa amepoteza dira kwa Felix kuliko kwa Fayulu Mkarismatic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ritz alikuwa na kiwango Fulani cha busara. Nadhani hawa watoto wapya wa Lumumba wanatokana na ndoa haramu kati ya UCD na YEHODAYA!! Mitoto inayozaliwa ni Mbulura Fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Felix alikuwa anafanya kazi gani kule Ubelgiji kabla kurudi Kongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa haina rafiki wala adui wakudumu daima kumbuka hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sura kamili ya felix itaonekana baada ya kuapishwa, kipindi cha mchakato wote hua wanakua wanyenyekevu sana. Si mnakumbuka jiwe alivyokua anatukatia mauno na kupiga push-ups pia alikua mpole sana kwa wenye chama chao, lakini baada ya kukabidhiwa rasmi kijiti amewageuka wote.
 
Sarakasi za siasa za DRC baada ya uchaguzi uliopita zitakuwa zinasimamiwa na kuongozwa na Kabila nyuma ya pazia. Amepatana na Felix awe Rais kutoka chama chake na bunge liongozwe na chama cha Joseph. Rais akiteua mawaziri kutoka chama chake bunge halitapitisha sheria kwa sababu wabunge wa chama cha Joseph wana wingi wa kura. Niwazi Kabila ataongoza na kusimamia Serikali.
 
Kuna ugonjwa kuwa kila tatizo ambalo serikali za africa linapata.. kisingizio mabeberu.
Ni lini mtabeba matatizo yenu yenyewe bila kutafuta kisingizio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama bado waafrica tuna mawazo mgando kama haya.

Alichokifanya Kabila ni uhayawani wa kiwango kikubwa sana, Lets the decide mtu wa kuwaongoza kwa mujibu wa katiba na sio kuwachagulia yupi wa kuwaongoza.

Yaani unaona fahari kabisa kwa wananchi kudhulumiwa kile ambacho wamekiamua na unashangilia huo upumbavu ambao kabila ameufanya.

Kwa mawazo haya ndio maana ccm inaendelea kutawala hii Nchi aisee.

Wakoloni hawamtaki Fayulu bali wanataka uhalisia wa kile ambacho wananchi wamekifanya, badilika kijana, seems elimu yako imekuwezesha kusoma na kuandika tu na sio kufikiria nje ya box.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Kwa hiyo we unafurahi kabilaba kuiba matokeo! Yaani wananchi wamchague mwingine ye atangaze mwingine halafu unafurahu kabisa. Aise vichaa ni wengi
 

kwetu tz ccm imeshangilia ushindi na kumpongeza kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…